Recent content by GARDENER255

  1. GARDENER255

    Naomba ufumbuzi, mganga kanipigia ramli anasema haoni kitu

    Nenda kawe jumapili utajua ni nan. 🙏🙏
  2. GARDENER255

    Kwa wale msiotumia pombe. Mnatumia kinywaji gani kupooza makoo yenu?

    😆😆😆 Nafikili wanajitoa akili. Nimetumia miaka 2 kununua na kujenga chumba kimoja . Wakati mke nilimtongoza sku mbili baada ya miezi miwili tukaoana. KIPu kugumu hapo 🙅🤷
  3. GARDENER255

    Naomba ushauri, nataka kufungua biashara ya stationery

    Connection za kuagiza mizigo nje ni ishu mkuu
  4. GARDENER255

    Nataka kuanza biashara ya tofali

    Huku bado hakujashangamka kivile mkuu.
  5. GARDENER255

    Nataka kuanza biashara ya tofali

    Samahan, et siwezi kuanza na ya Bam Bam
  6. GARDENER255

    Msaada kujua gharama ya kufyatua tofali 4,800

    Yes naitaka kaka nipo Tanga Pangani connection yoyote
  7. GARDENER255

    Msaada kujua gharama ya kufyatua tofali 4,800

    Galama kaka ikoje KWa sasa
  8. GARDENER255

    Nataka kuanza biashara ya tofali

    Naiitaji msaada wa mawazo. Et naitajika kua na vifaa gan nikitaka kufungua kiwanda kidogo cha tofali kijijini. Na hivo vifaa navipata kwa bei gan. Note: kama kifa unacho unaacha mawasiliano na bei. Mimi nipo Tanga, Pangani.
  9. GARDENER255

    Msaada: Mke wangu Maziwa hayatoki

    Et angalau mara ngapi kwa siku?
Back
Top Bottom