Kwa wale msiotumia pombe. Mnatumia kinywaji gani kupooza makoo yenu?

Kwa kweli ni changamoto sisi wasio tumia kinywaji.
Hotelini naagiza chai ya maziwa pale kakikombe ni 7000 sio shida kwangu.

Mara nikabadirisha chai ya tangawizi, nayo nimeichoka.

Mara juice ya carot nayo inachosha.

Nikawaza kwakuwa ni hotel kubwa hawawezi kosa 'green coffee beans " mbaya zaidi nayo hawana na super market nimekosa, nimeagiza rwanda soon itafika.

Leo nawaza nitoke sijui nitakunywa nini? Kwakweli sisi ni wa kuonea huruma.

Wadau kinywaji gani ambacho hakina kilevi ambacho naweza ajiza hotelini? Nimalize hata two hrs maana sio kila nikienda lazima nile, wakati mwingine nakuwa nimeshiba.

Nasubiri hapa majibu wadau.

N.b hivi kuna wine isiyokuwa na kilevi? Naomba muitaje hapa jamani.

N.b elfu 40 au 50 hainunuwi gari wala kujenga nyumba.

Mbinguni hakuna hoteli

Kaburini hatuendi na gari wala nyumba ila tunaenda na tumbo letu so wakuu msijinyime.
 
Tokea mke wangu aniende kwa mtaalamu pasi na mimi kujua, pombe imenikataa kabisa

Niliamua kutafuta mbadala ya pombe. Nilijaribu soda, juisi za viwandani hadi juisi za kienyeji. Zote ziligonga ukuta

Nowdays ninaporejea nyumbani, napitia energy drink moja, ndani tayari nina kipakiti changu cha Panadol za Kenya. Kabla ya msosi natupia vidonge viwili kwenye chupa ya kinywaji changu cha energy, nangoja dk2, kisha nakunywa taratiibu huku namtazama shemeji yenu kwa hamu

Muda huo chumba kizima nimefungulia boringo za akina Iyondo Sister au midundo ya akina Msondo Ngoma. Stimu ninayoipata ni kama ya mnywaji wa bia

Kwenu msiotumia bia, unatumia kinywaji kipi kama kiburudisho?View attachment 2680860View attachment 2680861
Afya yenye ladha ya blackcurrant
 
Unaweza nipa elimu juu ya kutengeneza mocktail yoyote.
Au hata mixture ya vinywaji vya pombe

Boss inategemea na recipe unazotaka.
Mimi nikitengeneza ya lemon naweka Ice kwenye glass nusu glass. Naweka juice ya lemon naweka na club soda na mint yale majani. Kisha ka limao kengine nakakata mduara nakachomeka kwenye glass na kamrija kangu imetoka hiyo.

Ya tikiti nachukua tikit nalitoa kwenye maganda yake nalimweka pembeni nali blend kidogo sana nikiwa nime mix ni mint. Kisha naweka Ice zangu kwenye glass naweka na hiyo mixer ya tikiti na mints kisha club soda na kama kawaida ka lemon nakaweka kwenye glass pembeni naweka na vijani vya mint inakuwa imetoka.
 
Tokea mke wangu aniende kwa mtaalamu pasi na mimi kujua, pombe imenikataa kabisa

Niliamua kutafuta mbadala ya pombe. Nilijaribu soda, juisi za viwandani hadi juisi za kienyeji. Zote ziligonga ukuta

Nowdays ninaporejea nyumbani, napitia energy drink moja, ndani tayari nina kipakiti changu cha Panadol za Kenya. Kabla ya msosi natupia vidonge viwili kwenye chupa ya kinywaji changu cha energy, nangoja dk2, kisha nakunywa taratiibu huku namtazama shemeji yenu kwa hamu

Muda huo chumba kizima nimefungulia boringo za akina Iyondo Sister au midundo ya akina Msondo Ngoma. Stimu ninayoipata ni kama ya mnywaji wa bia

Kwenu msiotumia bia, unatumia kinywaji kipi kama kiburudisho?View attachment 2680860View attachment 2680861
Maji ya baridi mnooo, ila mkuu caffein + panadol mbona kama unatengeneza viagra?
 
Kwa kweli ni changamoto sisi wasio tumia kinywaji.
Hotelini naagiza chai ya maziwa pale kakikombe ni 7000 sio shida kwangu.

Mara nikabadirisha chai ya tangawizi, nayo nimeichoka.

Mara juice ya carot nayo inachosha.

Nikawaza kwakuwa ni hotel kubwa hawawezi kosa 'green coffee beans " mbaya zaidi nayo hawana na super market nimekosa, nimeagiza rwanda soon itafika.

Leo nawaza nitoke sijui nitakunywa nini? Kwakweli sisi ni wa kuonea huruma.

Wadau kinywaji gani ambacho hakina kilevi ambacho naweza ajiza hotelini? Nimalize hata two hrs maana sio kila nikienda lazima nile, wakati mwingine nakuwa nimeshiba.

Nasubiri hapa majibu wadau.

N.b hivi kuna wine isiyokuwa na kilevi? Naomba muitaje hapa jamani.

N.b elfu 40 au 50 hainunuwi gari wala kujenga nyumba.

Mbinguni hakuna hoteli

Kaburini hatuendi na gari wala nyumba ila tunaenda na tumbo letu so wakuu msijinyime.
Bavaria
 
Tokea mke wangu aniende kwa mtaalamu pasi na mimi kujua, pombe imenikataa kabisa

Niliamua kutafuta mbadala ya pombe. Nilijaribu soda, juisi za viwandani hadi juisi za kienyeji. Zote ziligonga ukuta

Nowdays ninaporejea nyumbani, napitia energy drink moja, ndani tayari nina kipakiti changu cha Panadol za Kenya. Kabla ya msosi natupia vidonge viwili kwenye chupa ya kinywaji changu cha energy, nangoja dk2, kisha nakunywa taratiibu huku namtazama shemeji yenu kwa hamu

Muda huo chumba kizima nimefungulia boringo za akina Iyondo Sister au midundo ya akina Msondo Ngoma. Stimu ninayoipata ni kama ya mnywaji wa bia

Kwenu msiotumia bia, unatumia kinywaji kipi kama kiburudisho?View attachment 2680860View attachment 2680861
Matokeo yake ni nn huu mchanganyiko
 
Wewe jamaa unakosea sana na unajitafutia matatizo ya kiafya ambayo yatakugharimu sana diku za usoni.
1. Energy drink haipaswi kunywa kama kiburudisho. Energy drink ni kinywaji ambacho unakunywa pale ambapo unahitaji nguvu ya ziada kwa dharura kufanya jambo na hujaweza kula vizuri ili kupata nguvu. Kwa hiyo msifanye energy drink kama kiburudisho cha kila siku.

Kumbuka njia ya kawaida ya mwili kupata nguvu ni kupitia chakula.

2. Energy drink zinaongeza mapigo ya moyo...hii ni katika kuufanya moyo kusukuma damu nyingi zaidi mwilini ili kuupa mwili oxygen ya kutosha kutengeneza nguvu. Hivyo matumizi ya energy drink yakizidi kuna hatari ya kupata ugonjwa wa HBP - High Blood Pressure. Infact ndo maana siku hizi ni kawaida kukuta kijana at 40 ana BP.

3. Haileti naana yoyote kunywa energy drink wakati unaenda kulala. Hautapata usingizi mzuri maana Energy drink lengo lake ni kukuondolea uchovu na kufanya mwili uwe active. Wakati jioni unataka upate uchovu ili ulale ukiwa ume relax. Ndo maana watu wanashauriwa kufanya maziezi jioni ili kuupa mwili uchovu ambao utamfanya kupata usingizi bora (quality sleep).

Tatizo la pili unalojitengenezea ni usugu wa dawa za kutuliza maumivu. Sijui ni kwa nini unatumia panadol kila siku wakati hauumwi. Hivi unajua jinsi panadol zinavyofanya kazi mwilini?

Kimsingi una haribu mfumo wako wa fahamu taratibu..
 
Ndiyo maana huwa nasema haya mambo ya nguvu za kiume yanagharimu sana hiki kizazi.
 
Kwa kweli ni changamoto sisi wasio tumia kinywaji.
Hotelini naagiza chai ya maziwa pale kakikombe ni 7000 sio shida kwangu.

Mara nikabadirisha chai ya tangawizi, nayo nimeichoka.

Mara juice ya carot nayo inachosha.

Nikawaza kwakuwa ni hotel kubwa hawawezi kosa 'green coffee beans " mbaya zaidi nayo hawana na super market nimekosa, nimeagiza rwanda soon itafika.

Leo nawaza nitoke sijui nitakunywa nini? Kwakweli sisi ni wa kuonea huruma.

Wadau kinywaji gani ambacho hakina kilevi ambacho naweza ajiza hotelini? Nimalize hata two hrs maana sio kila nikienda lazima nile, wakati mwingine nakuwa nimeshiba.

Nasubiri hapa majibu wadau.

N.b hivi kuna wine isiyokuwa na kilevi? Naomba muitaje hapa jamani.

N.b elfu 40 au 50 hainunuwi gari wala kujenga nyumba.

Mbinguni hakuna hoteli

Kaburini hatuendi na gari wala nyumba ila tunaenda na tumbo letu so wakuu msijinyime.
Beb haunyw ht 4 cousin kwel ??
 
Back
Top Bottom