Wakuu maji yamenifika shingoni,mwaka jana mwshoni,nlikutana na binti mmoja,mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo kikuu kimoja dodoma,baada ya siku kadhaa,nikatembea nae,lakini sikuwa na mapenzi kwake,lakini yeye alinipenda sana,akanisumbua kwa muda mrefu,nikaamua kumweleza ukweli kuwa mimi nina...