Mkutano wa CHADEMA Dodoma wadorora!

Tuwekee picha kuthibitisha unachokisema hapa zaidi ya hapo taarifa yako itakuwa haina tofauti na wanaovaa Magamba

Nadhani kama siyo yeye basi camera itakuwa na magamba zaidi au celular fone itakuwa na ...IRUs kama siyo virus (magamba)
 
Mimi nilianza kukusihi kaa kimya, ukakataa haya sasa comment ndio hizooooo, mara cruiser za polisi mara wanahamasisha watu waende.....aahaaa hizo chai hizo, tulia CDM hawabahatishi Mpwa, tulia uone
 
Polisi nao!Mbona hatujawahi kusikia wamezuia mikutano ya Magamba?
 
Ngoja nikae kimya tu,mnabishana nyuma ya keyboard tu..pro-chadema masaburi tupu.
Mimi nilianza kukusihi kaa kimya, ukakataa haya sasa comment ndio hizooooo, mara cruiser za polisi mara wanahamasisha watu waende.....aahaaa hizo chai hizo, tulia CDM hawabahatishi Mpwa, tulia uone
 
Mimi c kwamba nafurahia watu kutokuja hapa,la hasha nilikuwa natoa taarifa,kwa sasa watu wameongezeka kiasi!
 
Jamani mimi nawashangaa sana hawa wenzetu wa chama cha magamba kwani wasi awsi wao ni nini na chadema, kwasababu wao wanakuwa na mikutano yao kila siku lakini sijasikia wana cdm wakizungumzia hiyo mikutano. Sasa leo wanatapatapa hooo mkutano hauna watu hao waliokuwepo ni tembo? Kazi kwenu tuna mkutano Dodoma na tuna mkutano Arusha mbona mtajibeba. Nyinyi msubirini mtoto wa Malkia aje awasisitizieni kuhusu ushoga maana mmempokea na mbwembwe zote. Mafisadi wakubwa nyie badala mzungumzie chama chenu na hela za epa, mmejifanya hela zimerudi kumbe mmekwenda kuziiba tena.
 
Ukweli ni kwamba pamoja na mbwembwe zote,lakini mkutano huu umeanza sasa hivi,hakuna watu kabisa,nimem
uona Mhe.AKONAI na Mbunge wa viti maalum sijamfaham kwa jina,kweli Dodoma chadema bado haina nguvu kabisa.
we chiziiii,sie ndo watoto wa udomya AKA udom moto wa hapo dom twaujua,,hukucheki juzi tuuu wakati wa malalamiko ya ule ufisadi wa ardhi??KAMWAMBIE ALOKUTUMA KUA MOTO WA DOM NI BALAA,
 
Tatizo lenu pro-chadema hampendi kuambiwa ukweli,Dodoma hakuna cdm kabisa,punguzeni jazba!mkutano umeisha sasa hv!
 
Back
Top Bottom