Recent content by ganny

  1. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    Yule uliyemtafutia lodge mmekumbushia na kuachana
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB kwa kanda zote

    Hizo za mwezi wa tatu ulikaa nazo kimya.
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Ananiacha kisa sijui kusex

    Biashara matangazo. Sipati picha PM yako itakavyojaa message.
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke hajawahi kuniambia nimechoka.Je ni mwaminifu?

    Inawezekana una kibamia ndio maana hachoki.
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I feel played

    Huyo ni play boy. Yalishanikuta kama hayo.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mtu asiyejulikana agawa fedha jijini Dar

    Natamani nimuone coz ninashida na fedha
  7. G

    JamiiForums Tanzania Hapa kijiji kwetu waliokunywa kikombe karibu wote tumewazika.

    Ndugu zangu 6 walienda hajafa hata 1
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taarifa

    Number 12 wengi wana maumivu mawakala ndio usiseme.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji line ya tigo tigopesa na navodavodacom vodacomM-pesa

    Hizo laini mbona unauza gharama hivyo au unataka na commission mpesa zinauzwa 150000-200000 . Tigo 500000. Punguza bei uuze.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Habari zenu wana JF. Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo toka mwaka jana. Nilipoenda hospital wakasema vipo katika utumbo. Kuna dawa nilizigharamia kwa sababu niliambiwa nitapona. Nilipokunywa hizo dawa vikatulia kwa miezi 3 sasa vimeanza tena. Msaada wako wako muhimu nitumie dawa gani vipone.
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu huyu mpenzi

    Hajiamini mzigo ataupata kweli
  12. G

    JamiiForums Tanzania PPF; Naomba msaada.

    Thanx kwa kutusaidia mimi nimejisajiri tayari baada ya kusoma post yako
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni utundu wangu wakati wa kufanya mapenzi...au?

    Maswali mengine duh. Inatakiwa uwaulize wapenzi wako kwa nini wanakuganda sio sisi.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Waziri wa kazi na ajira wahurumie vijana wa Tanzania

    Pia na hawa ison bpo zamani Spanco wapo tu hawaonyeshi dalili ya kuachia ngazi.
Back
Top Bottom