Chugga wana aina yao ya michano ambapo ni sawa na wanakubalika sana kwenye uwanja wa nyumbani ambacho ni kitu kizuri,kwa watu tuliopita hisabati na ithibati ya hip hop ili iliyo deep tunapata ukakasi kidogo kuwaelewa ninachoweza sema Arusha wanaishi culture ya hip hop ila sad to say hawana spear...
Kwa kifupi tu hip hop ilitoka ushuani ndo ikaingia uswahilini, huo ndo ukweli wa hip hop ya Bongo na uzaliwa wake ulianza kwenye ma-house party baadae utamaduni ukahamia kwenye ma-beach party..the rest is history.
Hapo kwenye generator fresh maana mimi wkt mwingine huwa nachanganyaga beat za singeli na mlio wa jenereta,, sounds the same 😄😄😄. Piga generator kwa huyo mwamba.😂
Hata mimi pia nina muda sijajihusisha na mapenzi sababu sina hela, majukumu yamekuwa mengi mpk kutenga hela kwa ajili ya kungonoka imekuwa mtihani 😃, kweli kua uyaone na si maghorofa
Endelea kuchakata mbususu Mkuu huo ndo umri wenyewe huo, nakushauri usiwahi kuoa na kumbuka kucheza salama wkt wote,hakikisha pia unafanya maendeleo, Maisha Matamu=Kazi+Maendeleo+Bata, hutojutia.
Kama hutojali Mkuu unaangukia kundi gani katika makundi ya umri yafuatayo:-
10-15
15-20
20-25
25-35
35-45
45-55
Kuanzia hapo sasa tunaweza kukushauri vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.