Recent content by gango2

  1. gango2

    PreGE2025 CHADEMA bado wana nafasi kushiriki uchaguzi...!

    Ni mapema sana kusema CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kwa kutokushiriki utiaji saini wa kanuni za maadili ya uchaguzi wa 2025 uliofanyika leo tar 12 April. Tarehe hii haipo kisheria na hakuna mahala inasema utiaji sahihi ufanyike muda gani kabla ya mchakato wa uchaguzi. Ingawa nina...
  2. gango2

    Naomba Mchango wenu wa mawazo kwenye hili jambo

    Okey fine, mimi ushauri wangu utakuwa tofauti kidogo: mimi kama ni wewe kwa kuwa nafahamu tofauti ni 200k tu, then maswali ya kwanza ya msingi kabla sijafanya uamuzi ni haya yafuatayo: 1. Je mkataba wa kazi huko uendako na wa hapa unatofauti, i means job security ya muda mfupi ipo? 2. Je...
  3. gango2

    Mwanaume unayehitaji sana mtoto..

    acha ushamba!
  4. gango2

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    nimepakumbuka pia, sema Mbeya jiji la ki-waki sana, halina supermarket..!
  5. gango2

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mbeya ndio inandikwa hivyo?
  6. gango2

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mbejha ndio nini mkuu, mbona unazingua!
  7. gango2

    Ukitaka kupima ustaarabu wa jamii husika angalia usafi wa maliwato yao. Hapa tumefeli sana

    ni kweli kabisa bahati mbaya zaidi utakuta mtu anajenga nyumba yake, na anaweka vyoo vizuri lakini anakuwa hajui matumizi sahihi ya choo!
  8. gango2

    Beware: CRDB bank customers are currently being targeted by scam emails in a large scale fraudulent attempt

    What makes you think all CRDB Bank customers received the same email? for-estance If I say, the scammer sent mail to you and other randomly recipient? Can you prove me wrong?
  9. gango2

    Bajeti ya Land Rover festival Arusha inatoka kwenye fungu gani la bajeti?

    Generally Makonda is very smart, na katika hili amefanikiwa sana! Mimi na wewe ambao tupo mbali na Arusha tunaweza tusi-i-feel hii impact, but kwa kifupi: Makonda katumia influential power yake kufanya hiki kitu kikawezekana, ukiacha gharama ndogo ambayo wame-lipia labda mafuta...
  10. gango2

    Bajeti ya Land Rover festival Arusha inatoka kwenye fungu gani la bajeti?

    kabla sijakujibu swali lako, budget gani unayoifikiria wewe????
  11. gango2

    Umakini wa kuishi na dada wa kazi majumbani kwetu

    right principle ni ndogo sana! ukiishi na msaidizi wa kazi nyumbani vizuri ukamfanya kama familia yako, kwa kiasi kikubwa ataishi vizuri na wewe na familia yako.
  12. gango2

    Nimevunjiwa nyumba yangu iliyopo Nyaishozi na kuibiwa mali zangu zinazofikia milioni 100+

    hivi huoni aibu kuandika kulikuwa na mil 35 ndani!
Back
Top Bottom