Wakuu natanguliza shukrani kwenu.
Naombeni mnipe tofauti ya hizi KOZI mbili ambazo ni
1.Barchelor of arts in community development
2.Barchelor of community development
Hizi KOZI mbili zinatolewa kwenye vyuo viwili tofauti moja chuo cha ardhi na nyingine ni SUA. Naombeni mnisaidie utofauti...
Mimi ni shabiki wa Simba tusahau kuhusu ubingwa ..Timu inaongoza kwa tofauti ya goli moja afu unacheza show game..Yanga watajibebea makombe mpaka wachoke wenyewe..Injinia ni mkali sana kwa wachezaji wanaokuwa wanahujumu timu, Angalia kilichomtokea Mukoko Tonombe kwenye fainali kule...
Bahati lazima uipambanie haiwezi kuja kirahisi inabidi mtu awe anajituma kwenye kila kitu mfano hapa mtaani kuna jamaa hapa mtaani kwetu yeye humwambii kitu kwenye kubeti na mwezi wa nne mwaka huu alishinda million 60+ saivi ashakuwa mtu mwingine kabisa.Kwahiyo inabidi kupambana wakati mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.