wewe ndo hujielew huwez kushawishi watu wasiweze kusoma chuo kwa sababu ya interest zako binafsi,,kuhusu suala la kuchelewa kwa malipo hii ni nature ya wingi wa wanafunz huwez jua ni shida ipi inapatikana katka kuchambua wanafunz wenye disco ili kuingiziwa pesa. sidhan kama wewe ni msomi unataka...
fanya kutoa taarifa polisi then nenda na police statement mpk ofisi ya gazeti lolote kisha nunua page kwenye gazeti hilo ambalo litakuwa ni la serikali, then nenda pale ofisi za necta ukiwa na polisi statement na ukurasa wa gazeti ulowekwa tangazo lako,wao watakupa barua yenye vielelezo ambavyo...
mm nasoma hiyo coz so usibishe wakati nipo aeducation huku so mtu anaechukua bachelor of education in arts huyu ni pure teacher but anaesoma baed anauwezo wa kuchange falculty
ooh just inabidi kuweka evaluation kabla ya kufanya maamuzi so inabidi ufanye unachopenda na sio kupenda unachofanya so zingatia hilo mwisho wa siku ni maisha yako soo.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.