Recent content by GAMBAYI

  1. G

    JamiiForums Tanzania Wanaume, mnaweza kumlizisha mdada/mke aliye keketwa?

    okey miss nimekupata lakini nimesema na menginewe kwa hiyo wewe umeangukia kwenye menginewe kama hivyo kucha,pingili za mikono,nywele na hata kwenye makalio kwa chini
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wanaume, mnaweza kumlizisha mdada/mke aliye keketwa?

    wanaridhika tu maana mwanamke hategemei hiyo antenna pekee ili aweze kuenjoy sexy wataalam wanakwambia mwanamke ana maeneo muhimu kumi ambayo kwa mwanamume ajuaye kuyachezea lazima umpate nayo ni: LIPS KATIKATI YA MAPAJA NYUMA YA SHINGO KIUNO NYUMA YA MAGOTI KWENYE CLITORIS ( KISIMI)...
  3. G

    JamiiForums Tanzania KITENDA WILI TEGA -TEGA NIKUTEGUE MWIBA HAYA NI MAJANI YA MTI GANi?

    hii ganja plant bhana!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Forget about the G-string, the C-string is here

    dunia ishakwisha hiiii,mwenyezi mungu atunusuru na huu usheitwani
  5. G

    JamiiForums Tanzania Unyama huu kamwe auvumiliki.

    Ndugu nakusalimu kwa salaam alotufundisha mbora wa Viumbe ambaye ni mtume Muhammad (swalallah alaiyh wasalaam) ASALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH kwa salaam hiyo ni juu ya kumtakia amani mwanadamu mwenzangu na uislam ni dini ya amani siku zote. Lazima tujifunze kutofautisha kati ya...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    hii kitu ya zamani sana maana uzi ni wa mwezi February 2014
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kama kuna alieitwa TPDC

    By TzPride: Nimeitwa kwa post ya Plant Manager TzPride Kwa hiyo position wameamua kuchkua mzawa mmoja wngine watakuwa expatriates maana wazawa wangine hawaku-meet qualifications. Posts zingine ndio tunaziweka sawa zitatoka soon. Haina haja ya kupoteza nafasi ya kuwasikiliza watu...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Wanaojua kuhusu utumishi

    hapo kaka umenena tuambiane jamani maana mambo ni mengi ni bora tukapata sehemu ya kuanzia
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wanaojua kuhusu utumishi

    Habari zenu leo tumefanya written kwa post za AFISA USTAWI na watu tulikuwa si chini ya 900 wakasema majibu ya written yatatoka kesho jioni au j3 asubuhi, je hawa jamaa wanaangalia vigezo gani kwenye usahihishaji? maana pepa ni nyingi kutokana na idadi ya watu bt wanasema majibu kesho au kesho...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kwa wewe uliyeomba nafasi za kazi uhamiaji tegemea yafuatayo

    Ahsante sana mkuu
  11. G

    JamiiForums Tanzania Taarifa zaidi kuhusu PPR oral interview

    usichoke anna maana huwezi jua alokwandikia mungu kwa hiyo subira siku zote ndiyo njia ya haki na nwenye yupo katika njia ya mwenyezi mungu,endelea kuomba uzima na akujaalie upate kazi hiyo maana yeye ni mjuzi wa yale ya siri na ya dhahiri,AHSANTE
  12. G

    JamiiForums Tanzania Watu 10,800 wapitishwa kuwania nafasi 70 tu Uhamiaji!

    tunashukuru wadau kwa taarifa
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ipi top 5 yako ya vyuo vikuu bora unavyovikubali Tanzania?

    Nilishasema watu mnakuja humu kuuliza wakati mna majibu yenu kichwani sasa kwani kusema UDOM kinakushangaza nini kwani umeambiwa lile ni kanisa ama?hayo ni maoni yake kama wewe unavijua ya nini kuulizana au kumcrash mwenzako kaa kimya!
  14. G

    JamiiForums Tanzania Ipi top 5 yako ya vyuo vikuu bora unavyovikubali Tanzania?

    acha kujishaua wewe ina maana vyuo vya nchi yako huvijui huo ni upimbi na utumwa wa fikra
  15. G

    JamiiForums Tanzania Chuo kipi kati ya hivi unakikubali zaidi na kipi kati yao kinabolonga..!!

    kuna mambo mengine hayana msingi na haswa kwa wewe muulizaji maana unavyoonyesha umekuja kuuliza swali na huku tayari una majibu yako kichwani sasa hizo ni kejeli kwa vichwa vya watu,wewe soma zingatia shule yako utakapoitwa kwenye interview na kufanya vizuri na kuweza kuitumia elimu yako vizuri...
Back
Top Bottom