KITENDA WILI TEGA -TEGA NIKUTEGUE MWIBA HAYA NI MAJANI YA MTI GANi?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,471
33,413
IMG_0023.JPG
 
jani la kondeni,

baada ya gharika, Nuhu akiwa ndani ya safina alimtuma kunguru kwenda nje ya safina kufanya survey lakini kunguru hakuleta majibu akalaaniwa.
Nuhu akamtuma njiwa, baada ya muda njiwa akarudi na jani hili la kondeni kinywani mwake akiashiria kuwa amani imerejea na gharika imekwisha.
 
jani la kondeni,

baada ya gharika, Nuhu akiwa ndani ya safina alimtuma kunguru kwenda nje ya safina kufanya survey lakini kunguru hakuleta majibu akalaaniwa.
Nuhu akamtuma njiwa, baada ya muda njiwa akarudi na jani hili la kondeni kinywani mwake akiashiria kuwa amani imerejea na gharika imekwisha.

Mmea wa "ganja" una kiungo kinachoitwa THC (tetrahydrocannabiol) ambacho ndicho kinachofanya uki-spliff una kuwa high. THC sio Nicotine. Nicotine ipo kwenye Tumbaku. Cannabis Sativa sio Tumbaku.

Sasa controversial inakuja between two sides wanao advocate matumizi ya cannabis na wale wanao discourage. Frankly speaking "jani la Kondeni au kitu cha Arusha" hakina madhara makubwa kama wengi wanavyodhani. Mmea wa Cannabis Sativa na Indica umetumika kwa matumizi ya kitabibu kwa mda mrefu sana sana. Toka enzi za Ugiriki ya kale. Tena hapa kulikuwa na hii illicit drug inaitwa Opium. After all hadi sasa hivi bado watu wanalima tu. Labda ndio sababu watu wanapendekeza ile legal kwa kiasi fulani.

Kipindi cha nyuma niliwahi kusoma Medical Journal ya Uingereza inasema "hakuma permanent damage inayotokana na matumizi ya "weed". Also the magazine goes further to suggest that "matumizi ya cannabis yanaweza kuwa na faida kubwa za kiafya kama itatumika kwa kiwango fulani hivi"

Warning: USITUMIE "WEED" ETI UKIDHANI UTAPATA BIDII YA KUFANYA KAZI KWA MAFANIKIO, WALA USIJIDANGANYE UTAKUWA MSAFI KIROHO UKITUMIA "MARY JANE", AU VILE KUWAZA KUWA UTAFAULU DARASANI. HUKO NADHANI NDIO KUNAITWA "KU SIZI" KWENYEWE KAMA VIJANA WANAVYOSEMA.

MAFANIKIO NI JUHUDI NA JUHUDI NI KUPATA TAARIFA SAHII, KUTUMIA TAARIFA HIZO KWA AJILI YA MAENDELEO.

TUMIA CANNABIS UKIJUA NINI FAIDA YAKE SIO KUKURUPUKA NA KUIGA NA KUTANGAZA KWA WATU "I AM RASTA"

Moto utakuchoma FIRE BURN! BOOM BOOM!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom