Recent content by gambalama_deo

  1. gambalama_deo

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo lushoto tanga , nije mwanza kwimba,misungwi, ilemela au nyamagana, idara sec.
  2. gambalama_deo

    JamiiForums Tanzania Naomba waliopita chuo cha ufundi veta kipawa katika fani ya ufundi simu waje kunipa muongozo

    Kama title inavojieleza , naomba waliopita chuo cha ufundi veta kipawa katika fani ya ufundi simu waje kunipa muongozo juu ya ubora wa kozi.
  3. gambalama_deo

    JamiiForums Tanzania Mwajiriwa achana na staff wenzio baada ya muda wa kazi

    Fact ....BIG YES FOR ME
  4. gambalama_deo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba( mwanajeshi)

    Noted
  5. gambalama_deo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba( mwanajeshi)

    Me
  6. gambalama_deo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba( mwanajeshi)

    Mm kijana umri miak 26 , mwajiriwa serikalini, natafuta mchumba mwanajeshi ,umri miak 20-25 , mwenye hofu ya mungu.
  7. gambalama_deo

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Drafti kitaifa

    Issa mamba anachukua hiyo, kijana wa mangwelele huyo[emoji122]
  8. gambalama_deo

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Drafti kitaifa

    Mwaka huu nimepitwa ila Ahsante San mtoa updates vipi nusu fainali Nani n Nani wanakutan?
  9. gambalama_deo

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Aje Tanga nije darl
  10. gambalama_deo

    JamiiForums Tanzania Taja walimu wa Physics Tanzania ambao wapo vizuri

    Engineer deo fantastic physics teacher
  11. gambalama_deo

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo lushoto Tanga nije dar kigamboni au wilaya yoyote dar idara secondary physics
  12. gambalama_deo

    JamiiForums Tanzania Simba alikataa ofa na kuwakebehi Azam. Je, Azam kalipa kisasi kwa kuipa yanga dau nono?

    Nam nichangie kidg, tunaposema mo anamiliki 49% za hisa za klabu y Simba ,ambazo thamani yake 20 billions , tukumbuke wanachama wa simba wanamiliki asilimia 51% za hisa ambazo kimahesabu ni 20.8 billions , hivyo bas naomba tuthamishe klabu ya Simba kwa 40.8 billions na sio Kama wengi wanavyosema...
  13. gambalama_deo

    JamiiForums Tanzania Taarifa za usajili wa Wachezaji mbalimbali kwa mwaka 2021/2021 special thread

    Ipi hiyo tudokeze mdau
  14. gambalama_deo

    JamiiForums Tanzania Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

    Hivi huyu mkulima atakuwa Ni Nani?
Back
Top Bottom