Uko sahihi sana Mkuu,Wengi huwa hawabebeki kabisa ,Ila humu kila mmoja anajifanya malaika ,(hawana dhambi) wanahisi haya mambo ni rahisi ,Hawajui familia inapoongezeka basi na majukumu yanaongezeka ,kwa maisha ya dar ,hivi uwe na watu 10 kwako ,Asubuhi hivyo vitafunwa ni kiasi gani bado mchana...