Na Mwandishi Wetu
CHAMA cha Wafanyakazi katika Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binaadamu nchini (THRDC) wamelaani kuanza kuibuka matukio ya waandishi wa habari na watangazaji kukamatwa na baadhi kupigwa na hata kuharibiwa vifaa vyao vya kazi na vyombo vya...
Na Mwandishi Wetu-Momba
JOTO kisiasa katika majimbo yaliyopo mkoani Songwe limeamza kupanda baada ya Mbunge wa Tunduma, David Silinde kudaiwa kuandaa vijana kumzuia mbunge wa Momba, Condester Sichalwe asihudhurie mkutano wa Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya...
Na, Laudence Simkonda-Momba
Condester Michael Sichalwe, anayejulikana kama Mundy, ni mwanasiasa mchanga na mwenye nguvu akiwakilisha jimbo la Momba mkoani Songwe, kama Mbunge, amejipatia umaarufu kwa michango yake muhimu katika maendeleo ya jimbo lake. Kazi yake imejikita katika kutatua...
VIVUTIO VYA UTALII VINAVYOPATIKANA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA NA SIFA ZAKE MKOANI SONGWE.
Momba ni kati ya wilaya Nne zinazo unda Mkoa wa Songwe, ambayo imebahatika kuwa na vivutio vingi vya utalii na vya kipekee hapa nchini Tanzania.
Licha ya upekee wake, vivutio hivyo bado vinahitaji...
Na Mwandishi wetu
Mwenyiki wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mbeya Ndugu Patrick Mwalunenge amewasihi vijana wa UVCCM kuwa wavulivu, waadalifu na kutoharakia maisha kwani kwa kufanya hivyo ni kujipotezea mwelekeo.
Akizungumza na Jumuiya ya vijana wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Mbeya Mjini...
Mwalunenge awapa ukweli Mchunu Vijana wa UVCCM, awambia waache kuharakia maisha.
Mwenyiki wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mbeya Ndugu Patrick Mwalunenge amewasihi vijana wa UVCCM kuwa wavulivu, waadalifu na kutoharakia maisha kwani kwa kufanya hivyo ni kujipotezea mwelekeo.
Akizungumza...
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali, Bw. Missana Kwangura amemtangaza Bi. Bahati Ndingo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 44,334 kati ya kura 56,095 halali zilizopigwa kwenye vituo 490 vya kupigia kura.
Bi. Ndingo amewashinda...
MOMBA: HALITETE SHULE SHIKIZI MAZINDE, MBUNGE CONDESTER APINGWA BUTWAA
MBUNGE wa Momba Mhe. Condester Sichalwe ameshangazwa kuona shule shikizi Mazinde iliyopo kijiji cha Masanyita kata ya Mpapa Halmashauri ya Momba iliyojengwa mwaka wa fedha 2022-2023 kwa gharama ya shilingi milioni 40 kujaa...
Na Laudence Simkonda -Momba
Mbunge wa Jimbo la Momba Mheshimiwa Condester Sichalwe (Mundy) ameiomba Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko(CPB) kuanza kuona uwezekano wa kujenga kinu cha kuchakata mazao ili kuyaongezea thamani ndani ya wilaya hiyo.
Momba ni Halmashauri mkoani Songwe, ambayo...
Songwe: Wakulima watakuwa kutumia mbolea Momba
Na Laudence Simkonda
Momba-Songwe
Wakulima halmashauri ya Momba tarafa ya Msangano na Kamsamba wametakiwa kuondokana na dhana potofu ya kwamba kutumia mbolea kunaharibu mazao kwani kwa kufanya hivyo ni kujichelewesha wenyewe kupata mafanikio...
SPIKA wa Bunge la Tanzania Dokta Tulia Ackson ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya mjini amesema wananchi wa Mbeya Jiji wanamuunga mkono na Miguu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Hassan Suluhu kwa jinsi anavyo wapatia miradi mbalimbali ya maendeleo.
Dokta Tulia ameyasema hayo wakati...
KUFUATIA kauli ya Rais Dkt. Samia. Suluhu Hassan aliyoitoa jana juu ya tuhuma za wizi wa fedha za serikali kupitia mfumo wa mashine za kukusanyia mapato katika halmasahauri mbalimbali za nje ya mkoa wa mbeya na mikoa mingine jumla ya watu 40 wamekamatwa kufuatia wizi huo.
Akizungumza na...
Jopo la Madaktari Bingwa wa Macho kutoka nchini Ujerumani wamefika mkoani Mbeya kutoa huduma ya matibabu ya uchunguzi na matibabu ya macho bure kwa wananchi wa mkoa huo.
Madaktari hao bingwa kutoa nchini Ujerumani, wamefika mkoani Mbeya kwa uratibu wa Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Mbeya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.