Recent content by galaw

  1. galaw

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Mimi miongoni mwa watanzania zaidi ya milioni hamsini natumia fursa hii kutuma hoja tano kwend kwa JPM kama sehemu yangu ya kumshauri kiongozi wangu wa nchi tuweze kufikia kile wengi tunachokitamani. 1. Nguvu kazi iliyopo utumiwe ipasavyo na kuwa na mkakati kfanikisha wazalishaji mali...
  2. galaw

    Freeman Mbowe na Dkt. Vincent Mashinji, waalikwa Ghana kuapishwa kwa rais Mteule Nana Akufo

    Yeye mbowe cdm itashinda mwaka gani nae alike wengine
  3. galaw

    UKAWA walichemsha kwenye umeya Dar

    Ushindi waliopata UKAWA katika jiji la Dar es salaam kipindi cha uchaguzi mkuu wa 2015 walipaswa kuwa makini kumpata aina ya mtu anaeweza kuubeba ushindi ule ili kuwa Meya. Meya aliyepo kwa sasa hatoi taswira kama jiji hili lilipiga kura nyingi kwa UKAWA hivyo wananchi wake kuonja matunda ya...
  4. galaw

    Unafiki unaliangamiza Taifa

    Unafaki ni moja ya vitu vinavyoangamiza maendeleo katika nchi zetu kwani hii ni aina ya rushwa ambayo watu wengi hawadhanii kama ina madhara kwa taifa. Hakika taifa lililojengwa na msingi wa unafiki na kujipendezekeza basi taifa hilo lisahau maendeleo ya kweli.
  5. galaw

    Pengo la hotuba na vitendo kwa kiongozi

    Habari Watanzania. Kiongozi makini ni yule anaetenda na kufanya yale anayoyasema,ikiwa kuna pengo yaani gap kati ya hotuba na vitendo kwa kiongozi tafsiri yake ni ulaghai hata hivyo hakuna kitakachofanikiwa kwani huwezi sema a alafu ukaandika b. Na hii ndo changamoto kubwa kwa viongozi wetu
  6. galaw

    CHADEMA msipuuze kuwekeza kwenye vijana

    Habari Watanzania. Chadema wakati inapata kukubalika kwa watanzania moja ya mbinu yake ilikuwa ni kuwapa fursa vijina ambao kweli walidhihilisha ushupavu wao ktk siasa huku ccm waliamini ktk wazee na kuendelea kuwabinya vijana. Hata hivyo kadri mda unavyokwenda kasi ile ya kuwaimalisha vijana...
  7. galaw

    Eti uhakiki wa vyeti kwa watumishi wapo waliosamehewa?

    Habari Watanzania, Katika swala la uhakiki wa vyeti la watumishi wa umma,je kuna idara ambazo zimesamehewa au kuuchwa? Kwani kuna minong'ono kuwa kuna baadhi ya idara uhakiki huo haukafanyika kwa kiwango kinachostahili ukilinganisha na idara zingine hasa walimu kwani walimu wao ndo inaonekana...
  8. galaw

    Humphey Polepole ni badiliko kubwa CCM

    Ndugu Watanzania, Kufuatia kuteuliwa kwa bwana Polepole ktk nafasi ya katibu wa Itikadi na Uenezi ccm taifa ni kukalibisha mabadiliko mengine ndani ya ccm kwa hoja zifatazo, 1. Polepole ni mtu mwenye kufanya tathimini pana ya mambo kabla ya kuyasema na kuamua. Ni mtu mwenye kusema kile...
  9. galaw

    Lowassa kuzidi kutikisa 2020

    Hakika kishindo cha serikali ya awamu ya tano mara baada ya kuanza kazi iliaminisha watu wengi kuwa LOWASSA 2020 hatakuwa na ushawishi kwani ilionekana mkuu wa kaya ameweza ila ghafla mambo yamebadilika hasa kwa sababu kuu tatu. 1. Hatua zote zilizochukulia na zinazoendelea kuchukuliwa kutoleta...
  10. galaw

    RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

    Ni kweli kuna baadhi ya watumishi wa umma walioko serikalini ambao utendaji wao wa kazi ni hafifu kufikia hatua ya kutiliwa shaka hata na nawananchi au wale wanaotegemea huduma kutoka kwao. Na sababu kubwa ni uwezo mdogo wa watumishi hawa kwa nafasi walizoajiliwa kwani uwezo wao na maono yao...
  11. galaw

    Harakati za ubunge Jimbo la Serengeti zaanza

    Ndg Ukweli ni kuwa siasa haijawahi kusubiri bali uchaguzi ndio husubiri muda wake. Ni mwaka umepita tangu jimbo la Serengeti lipate mbunge wake kupitia CHADEMA kwa kumshinda aliyekuwa mbunge wakati huo toka CCM,hata hivyo mandalizi ya kisiasa ktk nafasi ya ubunge yanaendelea hasa baada ya watu...
  12. galaw

    Kama Kila Kiongozi atatimiza wajibu wake tutafika mbali.

    Hakika kwa ujumla tumekuwa na kiwango kidogo cha viongozi wa serikali na vyama kutimiza wajibu wao ipasavyo. Hii imepelekea kutopata suluhuhisho ya changamoto tulizonazo. Kuondoka hapa tulipo ni mhimu sana kwa viongozi kutimiza wajibu wao ili kutoa majibu stahiki kwa taifa ili kuharakisha...
  13. galaw

    Hata dikiteta akiamua hutenda haki

    ndg habari. Namna ya kushughulikia masuala na watu ktk uongozi wowote ni nguzo mhimu ili kufikia hatua nzuri ya maendeleo yawahusuyo wananchi. Hivyo kiongozi hana budi kuamua vitu kwa kuzingatia haki yani ukweli juu ya mamuzi hayo. Hata dikiteta akiamua anaweza tenda haki kwa namna anavyofanya...
Back
Top Bottom