Pengo la hotuba na vitendo kwa kiongozi

galaw

Member
Oct 1, 2016
13
29
Habari Watanzania.
Kiongozi makini ni yule anaetenda na kufanya yale anayoyasema,ikiwa kuna pengo yaani gap kati ya hotuba na vitendo kwa kiongozi tafsiri yake ni ulaghai hata hivyo hakuna kitakachofanikiwa kwani huwezi sema a alafu ukaandika b. Na hii ndo changamoto kubwa kwa viongozi wetu
 
Back
Top Bottom