Recent content by Gaitonde

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    hivi jaman kwa mliopita ccp mazoezi yao yakoje je ni magumu sana au kawaida tu
  2. G

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Balozi Dkt. Deodorous Buberwa Kamala?

    Kafariki dunia
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wale tunaotaka kujiajiri tupite hapa

    Asante Sana kwa fursa hizo
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ni changamoto na mafanikio yapi ulipitia wakati ukifanya internship/ kujitolea?

    Changamoto ni nyingi Sana nikipata muda nitakuja kuandika vizuri
  5. G

    JamiiForums Tanzania Aweso atembelea UDOM, changamoto ya maji kutatuliwa

    Waziri Aweso na UDOM kuhusu maji Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kuweka mpango mkakati wa dharura wa kuhakikisha upatikanaji wa huduma ya majisafi katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) inapatikana haraka kwa uhakika na ubora...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Harufu ya utapeli, kuna watu watalia na kusaga meno soon

    Naombeni details Zaid kuhusu Hawa watu maana na mm wamenifata WhatsApp Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  7. G

    JamiiForums Tanzania Uchakavu wa miondombinu chuo kikuu Cha kilimo (SUA) na mazimbu campus

    Bora pangebaki kuliko kuleta wanafunzi pale afu wanaishi kwa shida Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  8. G

    JamiiForums Tanzania Uchakavu wa miondombinu chuo kikuu Cha kilimo (SUA) na mazimbu campus

    Hahahah Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  9. G

    JamiiForums Tanzania Uchakavu wa miondombinu chuo kikuu Cha kilimo (SUA) na mazimbu campus

    Salaam Kwa waliopo SUA na Mazimbu campus kwasasa au wamepita hivi Karibu nadhan hawatashangazwa na hili. Hiki chuo miondombinu yake imechoka Sana kuanzia ofisi, madarasa, vyoo, hostel Hadi maabara zimechoka mno Vyoo ndo kabisa barabara nazo shida kwa kweli mazingira yake hayafanani na chuo...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Morogoro Manispaa daladala zake zimechoka na kuchakaa Sana

    Ila Moro zimezidi Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  11. G

    JamiiForums Tanzania Morogoro Manispaa daladala zake zimechoka na kuchakaa Sana

    Aseee Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  12. G

    JamiiForums Tanzania Morogoro Manispaa daladala zake zimechoka na kuchakaa Sana

    Ata Kama lkn Kuna hizi za mafinga mkundi Barabara nzuri lakin zimechoka pia Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  13. G

    JamiiForums Tanzania Morogoro Manispaa daladala zake zimechoka na kuchakaa Sana

    Salaam! Nipo morogoro hapa Ila asee katika ya miji niliyofika Basi Morogoro ndo wanausafiri wa umma (daladala) zimechoka sana na kuchaka na ubovu. Baadhi ya daladala ata baadhi ya viti hamna milango haifungi vizuri Yani hii ni hatari kwa abiria. Sijui mamlaka sinaruhusu vipi hili swala Mamlaka...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Hivi hili nililosikia kuhusu kufutwa kwa baadhi ya mashirika halitapunguza ajira kweli?

    Haya Mambo Kuna mdau wangu alifanya interview ya Taasisi ya Elimu kibaha na juzi taasisi imefutwa maanake mchakato wao umeishia hapo Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Bila bila Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom