Morogoro Manispaa daladala zake zimechoka na kuchakaa Sana

Gaitonde

Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
71
Reaction score
172
Salaam!

Nipo morogoro hapa Ila asee katika ya miji niliyofika Basi Morogoro ndo wanausafiri wa umma (daladala) zimechoka sana na kuchaka na ubovu.
Baadhi ya daladala ata baadhi ya viti hamna milango haifungi vizuri Yani hii ni hatari kwa abiria.
Sijui mamlaka sinaruhusu vipi hili swala

Mamlaka mnaohusika na hili mlishughulikie.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Hii Manispaa ya Morogoro ni hovyo sana!! Hawa jamaa hawajengi barabara za rami za mitaani tofauti kabisa na Halmashauri za Manispaa zingine! Sijui viongozi Mbunge, Meya, Madiwani na Mkurugenzi wanawaza nini!!? Hata hawana. Uchungu kabisa na Wananchi wao. Hebu Nenda Manispaa za Tabora na Kigoma Barabara za rami kibao Mitaani. Uongozi wa Manispaa mjitafakari. Huduma za jamii mbovu sana Angalia Maji ni shida. Ningelikuwa Rais ningelivunja Baraza la Madiwani Manispaa Morogoro na kumvua ubunge huyu Abood.
[emoji36][emoji36][emoji36]
 
Salaam!

Nipo morogoro hapa Ila asee katika ya miji niliyofika Basi Morogoro ndo wanausafiri wa umma (daladala) zimechoka sana na kuchaka na ubovu.
Baadhi ya daladala ata baadhi ya viti hamna milango haifungi vizuri Yani hii ni hatari kwa abiria.
Sijui mamlaka sinaruhusu vipi hili swala

Mamlaka mnaohusika na hili mlishughulikie.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Mbona hata ile hoteli maarufu ya miaka mingi Msamvu ambayo mabasi yote yanasimama nayo imechoka iko kama ya kijijini, yaani hoteli na gereji hapohapo.
 
Kote kote gari zimechoka nini manispaa ya morogoro nilishawai kwenda Jiji la Dodoma usafiri wa umma magari mikweche na majiji mengine yote pia ni mikweche TU
 
Salaam!

Nipo morogoro hapa Ila asee katika ya miji niliyofika Basi Morogoro ndo wanausafiri wa umma (daladala) zimechoka sana na kuchaka na ubovu.
Baadhi ya daladala ata baadhi ya viti hamna milango haifungi vizuri Yani hii ni hatari kwa abiria.
Sijui mamlaka sinaruhusu vipi hili swala

Mamlaka mnaohusika na hili mlishughulikie.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Zikishakuwa Skrepa hapa Dsm ndio zinapelekwa Morogoro

Chuma chakavu zinazotembea hizo
 
Back
Top Bottom