Recent content by gadrock

  1. gadrock

    JamiiForums Tanzania KERO Wawekezaji UTT Amis hatuwezi kuuza vipande vyetu wala kuona taarifa zetu kupitia application mwezi wa pili sasa

    UTT wamefanya maboresho kwenye application zao za Android na IOS ili kukupatia muwekezaji ubora, na user experience nzuri. Hivyo kama unatumia app ya zamani, unapaswa kuitoa na kupakua (download) upya kutoka plastered au app store. Baada ya hapo login na kila kitu kitaenda sawa.
  2. gadrock

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa masuala ya computer science na software engineering anahitajika

    Kuwa na heshima na taaluma za watu. Ulichokiweka hapo havihusiani kabisa na CS.
  3. gadrock

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama kwelii vileee
  4. gadrock

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Lengo ni kukuchanganya tu. Hakuna kingine
  5. gadrock

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania sio wajinga, hakuna Mtanzania atakayewapigia kura za huruma CHADEMA

    Unafiki utakuua wewe
  6. gadrock

    JamiiForums Tanzania NIDA kuanzia mwezi huu wataanza kutoza fedha Taasisi zote za Umma na Binafsi ambazo zinatumia taarifa za Mamlaka hiyo kuhudumia Wananchi

    Nida mjiandae, nitadai commission kila mwezi. Hamuwezi kupiga mpunga kwa utumia taarifa zangu, tena niliwapa bure.
  7. gadrock

    JamiiForums Tanzania Nataka kutengeneza milioni 100tsh!

    Just import sex toys, you'll be surprised.
  8. gadrock

    JamiiForums Tanzania IRC Channel kwaajili ya Hackers, Linux Gurus na Programmers.

    Baada ya kupitia you thread, nimefahamu bado nina safari ndefu sana
  9. gadrock

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu, ahsante ntapata mrejesho baadae
  10. gadrock

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Katibu wa CCM, Bashiru Ally kumuita Waziri anayemiliki ekari 1000 za mashamba kueleza alizipataje

    Unisamehe kwa kutokujua kwangu, nime Google "royal village" nimeambulia patupu. Msaada jamani Hilo ni eneo gani nchi hii
  11. gadrock

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu Nina 10k hapa, naombeni odd 3+ kwa leo.
  12. gadrock

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mwana hauna hata siku nne hapa jamvini, umeanza kuongea shit namna hiyo
  13. gadrock

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kibingwa: nimetoka hivi
  14. gadrock

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu, inakuwaje hapo 2/x iwe lost wakati second half hawajafungana???
  15. gadrock

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ZB75L
Back
Top Bottom