Mm Nina mshikaji wangu tulimaliza wote advance miaka iyoo akachugua iyoo kozi asee semester ya kwanza tu akadisco mwaka wa kwanza akarudi maskan ingawa mshikaji alikuwa ni mpiga msuli lakin alilabwa kichwa ........kiufupi iyoo kozi ni konyo Kama inataka kuisoma jipangeeee
Mwl njoo tubadilishane vituo vya Kaz njoo mwanza buchosa nije mkoa wa pwan halmashauri yoyte
*Idara ya secondary masomo ya sayans
*Pesa ya usumbufu/allowance kiasi Cha 1.5M itatolewa
*Kama uko serious nicheki
Hello, wadau naomba msaada wa mawazo maana mm sio mtaalamu wa magari Ila Kuna magari mawlili yamekuwa yakinivutia sana ambayo ni Raum pamoja na IST zenye cc 1490 ipi nzuri Kati izo mbili kwa maana ya ubora,upatikanaji wa vipuri kwa sababu mm ruti zangu nyingi ni za rough road ........nipeni msaada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.