Recent content by Gabrielgoodluck

  1. Gabrielgoodluck

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Kuna tatizo la kukatika kwa mawasiliano ya Intaneti kwenye baadhi ya Nchi za Afrika ikiwemo Tanzania

    M-Pesa imenisumbua sana Alafu wamechelea kutoa taarifa. Vodacom amkeni
  2. Gabrielgoodluck

    JamiiForums Tanzania Colour printer gani inafaa kwa matumizi ya stationery?

    Wadau habari. Ninaomba kujua ,kwa wenye uzoefu wakutumia PRINTERS AMBAZO NI 3 IN 1, budget yake kuanzia Tsh 500000/= mpaka 1,000,000/= INK JET (ZENYE KUTUMIA WINO) ni brand gani nzuri kwa matumizi ya stationery.
  3. Gabrielgoodluck

    JamiiForums Tanzania Chombo chaanga cha china kilopoteza mawasiliano Chaanguka kutoka Angani

    Soma post ya kwanza juu ya chombo hiki ,sio china tu hata marekan wanachombo chao kilicho dondoka,ni ajali kazini sie wabongo tumetengeneza nini,tujiulize sio ku kashfu wachina
  4. Gabrielgoodluck

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Ni hatari kwa Kanisa kutoa kauli inayosababisha maumivu na mifarakano badala ya kuponya

    Biblia hiyo hiyo inatuambia tusiwe wapole kupita kiasi,maaskofu wameandika ukweli mtupu. Eti kwakua waliyo yaandika niya ukweli yanagusa moja kwa moja nani mambo yanayoeleweka. Huyu jamaa ajibu hoja ,asiandike siasa nyiingi.
  5. Gabrielgoodluck

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake wengi hupenda Wanaume wanaokaa Kifuani kwa dakika 25 na siyo dakika 5 hadi 7

    Huu utafiti wathibitishe kina KE mana wapo humu.
  6. Gabrielgoodluck

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisawa kumuuliza mwenza wako anapenda mtu wa aina gani katika mahusiano

    Asanteni kwa maoni yenu wadau
  7. Gabrielgoodluck

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nipo moshi
  8. Gabrielgoodluck

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    TNPSSC ni sawa na shilingi ngapi?? Msaada wenu naomba.
  9. Gabrielgoodluck

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    nipo moshi mjini
  10. Gabrielgoodluck

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    TECNO SPARK K7 BEI 250000 Kwa mawasiliano nichek hapa 0753245943 nipo moshi bado ipo in good condition..
  11. Gabrielgoodluck

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi mmoja kwa Wanawake wa Bongo ni Uongo wala haijawahi kutokea, wanaume Shituka..

    Umeongea ukweli mtupu hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Ukiwa nao utajua watu na madeko kibao kumbe ni wizi mtupu. Mtusamehe kinamama kwa ukweli huu msiopenda ukawekwa hadharani..
  12. Gabrielgoodluck

    JamiiForums Tanzania TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    Sadaka na utajiri du wamchunguze kama zipo kw style hiitutakuwa wapole tu.
  13. Gabrielgoodluck

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kuanzia Januari 01, 2018 kodi ya nyumba za kuishi na ofisi, bei ya ardhi, gharama za elimu/afya n.k ziwe TZS

    Hii itaboresha uchumi wetu. Shukran waziri #Mpango
  14. Gabrielgoodluck

    JamiiForums Tanzania Tujifunze ujasiriamali kwa uchumi wa viwanda Tz.

    Nipo Kilimanjaro(moshi mjini)
Back
Top Bottom