Recent content by Gabriela

  1. G

    Kuvimba kwa Tezi Dume (Benign Prostate Hyperplasia BPH) Featured

    Wadau naomba msaada hospitali gani inamatibabu mazuri kwa tezi dume hapa nchini. Kama umewahi uguza mtu ntashukuru nikipata na bei shukranii
  2. G

    Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

    Jamani kwani mtu akisema where does it located kosa liko wapi? Binafsi sijaona kosa
  3. G

    Nataka Gari

    Mkuuu tembelea kupatana.com ila sasa ongeza mpunga walau ufike 5M hope utapata kagari safiiii
  4. G

    Msaada: Hotel nzuri Dar

    Kebby ni mwenge mbele kidogo ya nakiete pharmacy kabla hujafika bamaga mkuuu
  5. G

    Ni wapi ilipo ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora?

    Mkuu ukipanda kisbo safari unaonfoka dar saa 12 asubuhi unafika saa moja jion au mbili mkichelewa sana, lodge nzuri za bei ya elf 15 zilizo karibu na stand ni Zimbabwe, goodnight au byb lodge, maeneo ya kanyenye ni kwihala lodge, white sarkozy, ck etc kutoka stand kwenda ofisi ya mkoa wa mkoa ni...
  6. G

    Nimepoteza fedha kwenye account yangu ya CRDB

    Kama card yako ya ATM hukumpatia mtu siku hiyo, huenda ikawa ni tatizo la network(hizo debit and credit hafu ika debit tena) au ikawa ni ciber crime kuna bank zina EMV chip hizi ziko more secured so far najua EXIM ndo wanazo hizo cjajua other banks kama ni cover crime sijui utaratibu umekaaje...
  7. G

    Sakata la Gwajima: Serikali inapoamua kukumaliza

    A cha waendelee hata farao alikua mbishi mwisho wao umefika
  8. G

    Shule 8 zafungwa Kagera kwa kukosa Chakula, Vipi vipaumbele vya Wanasiasa wetu?

    Tbr nako shule kibao zimefungwa mpaka zike kongwe
  9. G

    Maajabu ya exim bank

    cash not dispensed ni jambo la kawaida kwenye ATM nyingii ni network error lakin pesa huwa haipotei sema inahitaji uvumilivu kwa kawaida na utaratibu ulivyo kwa mabank yote ikitokea situation ka hiyo inatakia pesa irudi ndani ya mwezi mmoja coz umekatwa kwa bank ingine ila ingekua ATM ya exim...
  10. G

    Mufti Simba wa BAKWATA na Shekh wake Alhadi wanacho cha kujifunza

    Rais muislam, makamu muislam, mkuu wa usalama muislam, hivi sisi mnaotuita makafiri tunawezaje kuwaonea? au Mungu we nu Allah ni dhaifu kwa Mungu YESU hahahahahahaha JEHOVAH, Bwana YESU ATUKUZWE WAPENDWA
  11. G

    Magari yote yangekuwa Manual transmition kusingekuwa na Foleni nchi nzima

    kwan kuna madhara gani kuchange gear box kutoka manual iwe automatic??????
  12. G

    Kumpa jambazi business card bila kujua kama ni jambazi

    Wanajamvi, Tulio wengi humu naamini tuna business cards, inapotokea umempa jambazi business card yako bila kujua kama ni jambazi, Na siku ikakutwa imetupwa kwenye eneo la uhalifu, je, utauepuka vipi mkono wa sheria? Naogopa kutoa busness card ila kwa nature ya kazi yangu nalazimika kutoa...
  13. G

    Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

    ccm ndio chama mengine magenge ya wahuni
  14. G

    Jukwaa la Wakristo vs CCM nani zaidi?

    Vp kuhusu mahakama ya kadhi IPO???
Back
Top Bottom