Mufti Simba wa BAKWATA na Shekh wake Alhadi wanacho cha kujifunza

papaayenga

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
765
501
Mchezo wa kuigizwa kati ya Kadinali Pengo ,Askofu Gwajima na Serikali na kuondolewa muswada wa Mahakama ya Kadhi bungeni mna somo kubwa sana ambalo Mufti Simba wa BAKWATA na Shekh wake wa mkoa wa Dsm Alhadi walizingatie kama watakuwa na sifa ya ULUL ALBAB (wenyekutumia akili) kama isemavyo quran 2:164.

Askofu Pengo alitetea waumini wa Kikristo wawe huru na maamuzi ya katiba wakati viongozi wenzake wameshukiwa na roho mtakatifu kuwaelekeza wapige kura ya hapana.

Akaonekana Pengo msaliti Gwajima akamnanga kwa matusi ya hadharani Pengo akashitaki polisi, polisi wakambembeleza Gwajima afike kutuoni ,akatekeleza wakamuhoji akavunga kuzimia pilikapilika za kumpeleka na kumuhamisha hospitali zikafanyika jaribio la kumtorosha likafanyika chini ya ulinzi wa polisi watuhumiwa wakakamatwa na silaha bastola na pasi mbili za kusafiria za mtu mmoja majina tofauti Gwajima.

Pengo akatoa msamaha kabla ya kesi kusikilizwa polisi wakamuachia Gwajima, mtuhumiwa alietaka kutoroshwa kwa kutumia silaha kwa dhamana isiyokuwa na masharti yoyote.

Hapo hakuna dai lolote toka serikalini, wakristo wanachanganya dini na siasa, jaribio la kutorosha muhalifu na silaha hospitalini waliofanya hawajaitwa magaidi.Mchezo umeishia hapo.

Shekh Ponda aliishutumu BAKWATA kuuza mali za Waislam ikiwemo kiwanja, BAKWATA wakashtaki polisi kama alivyoshtaki Askofu Pengo.Polisi walichukuwa bunduki, mabomu ya machozi na pingu wakajaza shehena ndani ya gari kwenda kumkamata Shekh Ponda na akapalekwa rumande pingu mikononi na miguuni.Akanyimwa dhamana mpaka mwisho wa kesi yake takribani mwaka mzima.

Shekh Muselem, Shekh Faridi na wenzao leo hii wanaozea rumande wanachodai wao kwa wananchi wa Zanzibari ni kupiga kura ya hapana katka muungano kama jinsi baraza la maaskofu wanavyodai kupiga kura ya hapana katika katiba na sababu kubwa mahakama ya kadhi imeinajisi katiba na nchi hii Nyerere alikwisha ikabidhi kwa Maria mama wa Mungu.

Soma kitabu cha padri Felician Nkwela.JK Nyerere nabii Musa wa kisiwa cha amani Tanzania ukurasa wa 8.

Baraza la Wakristo mko sawa kabisa tatizo liko kwa wavaa vilemba na kanzu mahodari kwa pilao za Maulidi.Linalo burudisha zaidi ni pale Jakaya Kikwete alipowabembeleza watengue kauli yao nao wakagoma mipango ya kuwakutanisha maaskofu na rais aliifanya Shekh wa BAKWATA mkoa wa DSM.

Lakini sijasikia kufanya mpango wa kumuona rais juu ya madhila wanayopata Mashekh wanaodhulimwa kwa kuswekwa rumande bila hatia.

Natumaini viongozi hawa wa BAKWATA kama hawatovaa sifa alioieleza Allah 2:171 watazinduka na kuja na tamko kwa maslahi ya imani yao na kama wakivaa sifa hiyo basi ni hasara mpaka kiyama.
 
Peleka udini wako huko ,hoja yako haina mashiko ,ni kidini zaidi ,kwanza aliyekwambia Askofu pengo kwamba kamshtaki Gwajima ni nani ? hujui kwanba kutuma hadharani ni kosa la jinai ?.Na mambo ya kina sheikh ponda na wenzie wa zanzibar yanaigia vipi hapa ? wale kesi yao ni tofauti kabisa na kabisa na hiki kilichotokea majuzi ..nenda zako huko nenda kajivishe mabomu ukawatete mahakamani kama unaona wanaonewa , Ndiyo nyie mnaotaka kuleta mambo ya boko haram huku na ndio hivi hivi walivyoanza kwa vitu visivyokuwa na mbele wala nyuma wakalelewa kisha mwisho ndiyo hayo mnayaona ..fanya yako na maisha yako
 
Tofauti ya alichoongea ponda na gwajima nini?Msije mkaona tumekaa kimya mkajua tumeyasahau wanavyofanyiwa mashekh wetu.Serikali inatakiwa kuwa makini haiwezekani iwe inakandamiza upande mmoja na kufanya upanda mwingine ndio una uhuru katika nchi hii.Wahutu na watusi walianza hivi hivi.
 
kumbe ndio mana mlimtuma Abubakar polisi akamshtaki Gwajima ili kuwe na usawa? sasa ndio nimepata picha
 
Hao Masheikh hata JF hawajui ni nini labda wana usalama wenzao au wana ccm wawapelekee taarifa.Hawajitambui kabisa hao Simba na Alhad
 
Tofauti ya alichoongea ponda na gwajima nini?Msije mkaona tumekaa kimya mkajua tumeyasahau wanavyofanyiwa mashekh wetu.Serikali inatakiwa kuwa makini haiwezekani iwe inakandamiza upande mmoja na kufanya upanda mwingine ndio una uhuru katika nchi hii.Wahutu na watusi walianza hivi hivi.

Hata mimi ni muislamu.lakini kwa katiba hii hapana.hebu ndugu isome vizuri.wameweka madudu mengi na kisha kutia la mahakama.mimi nijuavyo si lazima mahakama ya kadhi uhudumiwe na serikari.tunaweza wenyewe kufanya kama tunavyofanya mengine.ila kuikubali hii katiba ni kukubali kunyonywa daima dawamu.na gwajima alimnanga mgala mwenzie pengo ila ponda alirusha jiwe kizani.
 
Acha unafiq,,, issue hapa si mahkama ya kadhi hiyo hata shida nayo kwa sasa hatuna,,, issue kuu ni fair play,,, kukutwa na bastola,,,, na kuachiliwa ,,, kutukana hadharani... na kuachiliwa,,,, kupigwa risasi hadharani ...na kufungwa... kudai mali za wailam ..na kufungwa.... hii ndio hoja hayo mengine ni mapambio tu.. waislam wanashida ya kujua sasa makosa halisi ya PONDA ili walinganishe na ya GWAJIMA ,,, kwa nini iwe siri maana mpaka sasa hatujui nini makosa hasa ya sheikh.. twataka jua makosa yake basi wala hakuna jengine
 
Anachosema ni kwamba serikali inakandamiza haki za raia wake wewe ulipaswa kuunga mkono kwamba serikali hii ya CCM ni kandamizaji kosa la hao Masheikh walio wekwa mahabusu bila dhamana ninini?
kutofautiana dini kusikufanye ukamuona mwenzio hana haki, fikiri mara mbili, kama raia wa nchi hii wamesema WANATAKA SERIKALI TATU, Sheikh PONDA kawaambia BAKWATA waache kuuza mali za WAISLAM hili ni kosa?

Peleka udini wako huko ,hoja yako haina mashiko ,ni kidini zaidi ,kwanza aliyekwambia Askofu pengo kwamba kamshtaki Gwajima ni nani ? hujui kwanba kutuma hadharani ni kosa la jinai ?.Na mambo ya kina sheikh ponda na wenzie wa zanzibar yanaigia vipi hapa ? wale kesi yao ni tofauti kabisa na kabisa na hiki kilichotokea majuzi ..nenda zako huko nenda kajivishe mabomu ukawatete mahakamani kama unaona wanaonewa , Ndiyo nyie mnaotaka kuleta mambo ya boko haram huku na ndio hivi hivi walivyoanza kwa vitu visivyokuwa na mbele wala nyuma wakalelewa kisha mwisho ndiyo hayo mnayaona ..fanya yako na maisha yako
 
papaayenga

Acha kupotosha umma, sio kweli askofu pengo haawahi hata siku moja kwenda polisi kumshtaki gwajima nipolisi wenyewe walimuita baada ya kuona matusi aliyomtukana kadinali pengo tambua hata mkuu wa wiaya ya kinondoni anamtaka gwajima ofisini kwake na hapo utasema pengo kaenda kumshtaki gwajima kwa mkuu wa wilaya mara nyingi linapokuja swala la ponda mnaitahidi saana kufananisha kuhusisha na mambo yasio na ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Acha unafiq,,, issue hapa si mahkama ya kadhi hiyo hata shida nayo kwa sasa hatuna,,, issue kuu ni fair play,,, kukutwa na bastola,,,, na kuachiliwa ,,, kutukana hadharani... na kuachiliwa,,,, kupigwa risasi hadharani ...na kufungwa... kudai mali za wailam ..na kufungwa.... hii ndio hoja hayo mengine ni mapambio tu.. waislam wanashida ya kujua sasa makosa halisi ya PONDA ili walinganishe na ya GWAJIMA ,,, kwa nini iwe siri maana mpaka sasa hatujui nini makosa hasa ya sheikh.. twataka jua makosa yake basi wala hakuna jengine

Khanithi nini wewe.? Mnafik

Ni funza waliomo humo kichwani mwako.! Mimi nimejibu kama mtoa mada alivyo andika.sasa wewe shenzi bagamoyo unakurupuka kudandia gari kwa mbele kwa nini.? Halafu hujielewi kabisa.

Umesema sawa lkn ungeanzia uzi wako sawa.? Unatuchanganyua mambo kama hnavyo changanywa wewe sio.? Tafadhal unaposema au kujibu tumia akili sio.......! Unanitafutia ban na mapeeema ., lione vile.!
 
Acheni kutumia social media vibaya kwa manufaa ya uchochezi, Hizi ni mbili tofaui kabisa haziendani kabisa. Nasema TZ hi hatutaweza hata siku moja pigana kwa ajili ya udini. Sisi tunapendana hatuko wanyama kama nchi nyingine. Maneno kama haya yanapita tundu moja la sikio na yanatokea linguine. Tujengeni nchi yetu tuache haya ya udini
 
papaayenga

Hizo zote inaweza kuwa ni fix tu tunachezwa shere.hakuna lolote hapo .mbona mwinyi alisema ruksa watu kuvaa hijabu na likafanyika .sasa huyu kashindwa nini kutumia busara kama zile.? Ni kuwaelimisha tu wenye hofu na mahkama kuwa haitawahusu basi.wanatia ugumu vitu baadae walete movie.watu washavuta hela hapo.
 
Last edited by a moderator:
Rais muislam, makamu muislam, mkuu wa usalama muislam, hivi sisi mnaotuita makafiri tunawezaje kuwaonea? au Mungu we nu Allah ni dhaifu kwa Mungu YESU hahahahahahaha JEHOVAH, Bwana YESU ATUKUZWE WAPENDWA
 
Hapa jamvini kuna watu wadini, ila wanajua kujenga hoja za msingi, Sio kama wewe mtunga mashairi. Jibu hoja sio kukimbilia kuseme Umejota ufahamu.
 
Anachosema ni kwamba serikali inakandamiza haki za raia wake wewe ulipaswa kuunga mkono kwamba serikali hii ya CCM ni kandamizaji kosa la hao Masheikh walio wekwa mahabusu bila dhamana ninini?
kutofautiana dini kusikufanye ukamuona mwenzio hana haki, fikiri mara mbili, kama raia wa nchi hii wamesema WANATAKA SERIKALI TATU, Sheikh PONDA kawaambia BAKWATA waache kuuza mali za WAISLAM hili ni kosa?

Kamanikweli Shekh Ponda alisema tu kwamba, bakwata wasiuze mali za waislam, alafu akawekwa ndani kwa kauli hiyo tu, basi kuna tatizo.
 
Back
Top Bottom