SOGHOO
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 1,268
- 568
Kwa ID kama hii ya huyu bro aje tu huku Kakakuona bar and guest house Mbagala, vyumba ni self contained, nyama choma ya kufa mtu na shuka zinabadilishwa kila wiki. It is very pocket friendly, chumba cha feni self ni 15,000 cha ac ni 20,000. na tiivii juu