Recent content by gabriel Heinze

  1. gabriel Heinze

    JamiiForums Tanzania Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

    Inawezekana ni kweli, vipi we ni mwanamke na utawaalika wote walokufanya hivyo ili mumeo wamjue ?
  2. gabriel Heinze

    JamiiForums Tanzania Nisiposema hili kwa siku kama ya leo, nitapasuka hata moyo

    Unaongea hivyo kama watu wote wa humu ushakutana nao, humu kuna makapuku, kuna mashefa kuna wakati. Level ya ulokutana nao ndo wa kwako.
  3. gabriel Heinze

    JamiiForums Tanzania Nisiposema hili kwa siku kama ya leo, nitapasuka hata moyo

    Hata yesu hakuokoa wote, utowaokoa inatosha.
  4. gabriel Heinze

    JamiiForums Tanzania Vita yaangamiza uchumi wa Iran, Rial 1.8 milioni yabadilishwa kwa Dola 1

    Mafuta yanauzwa bei gani hapo iran kwa lita 1 ?
  5. gabriel Heinze

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani

    Uko sahihi huyo hajui chochote kazi yake ni kushabikia
  6. gabriel Heinze

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanauma, asikwambie mtu

    Ni kweli inauma sana, hasa ukiharibu wewe ila kama kaharibu manz huwa inachukua mwez kuwa sawa hapo ka ulikuwa na malengo naye.
  7. gabriel Heinze

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani ameshindwa kuimaliza Iran haraka?

    Bro, Trump kasema Iran ni taifa lenye nguvu kubwa sana. Leo kaacha propaganda ninaamini hata wewe utakubali ila ulikataa. Bro hii dunia kuna namna inaendeshwa ni vile waAfrika tumekataa kutoka nje ya box lao. Na kasema kama wataachwa peke yao Israel anafutika. Swali langu kwako, tufanye vile...
  8. gabriel Heinze

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani ameshindwa kuimaliza Iran haraka?

    Bro point yangu iko hapa, taarfa zote za vita ya Urusi zilikuwa hewani. Niambie taarfa gani za USA ISRAEL, zipo hewani. Wameamua kucheza chini ndo mana huoni chochote kilichoharibika kwao, propaganda ndo inaingia hapo. Iran kila siku anasema nani kafa au nani kaumizwa, hebu wewe nambie lini...
  9. gabriel Heinze

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani ameshindwa kuimaliza Iran haraka?

    jina lako la ubatizo ni nani ?
Back
Top Bottom