Recent content by Gabrie1979

  1. G

    Ngome za CCM zimebaki wapi na ngapi?

    kambi moja tu ya ccm iliyo baki ni watoto na wake/waume wa viongozi wao hata magufuli tayari tumesha vunja ngome yake maana mkewe ni timu ukawa
  2. G

    Lowassa kurejea jijini 20/9/2015 kurudisha moral, kanda wa ziwa mambo magumu

    tulia inaingia hiyooo myuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu katika sasa
  3. G

    Mkutano wa Rais Mstaafu Mkapa, Bukoba Mjini uwanja wa Uhuru Platform (Mayunga)

    Hotuba yake itategemea na kinywaji alichokunywa jana na leo kama kanywa ngumu tutegemee mitusi tu hakuna namna ccm hoii
  4. G

    Wameshikwa Pabaya...

    inanikumbusha wana wa israel walivyo mkataa masiha (alikuja kwao wakamkataa bali wte walio mpokea walifanyika wana wa Mungu na alifanyika kuwa mwokozi wa ulimwengu) Alikuwa kwao wakamkata watanzania wakampokea nu Mungu ameweka ndani yake uvumilivu utulivu na amani watanzania watainuliwa juu...
  5. G

    CHADEMA: Kauli rasmi kuhusu yaliyotamkwa na Dr. Willibrod Slaa

    watanzania tunapenda malumbano sana tushaambiwa mamlaka ya juu inahusika hatutaki kuwauliza tunamshupalia lowasa hivi tumelogwa?mwenyekiti wa kamati alikuwa na nafasi ya kumuhoji lowasa kipindi hicho hakumuhoji kwa alicho dai kumlindia heshima leo anataka mdahlo ili mdahalo ufanye nini au uamue...
  6. G

    Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

    watanzania bhana mbatia kujibu hizo tuhuma mnaona nongwa hamkumbuki kama ni wamoja na wanalinda umoja wao?mboe kaongea kwenye mkutano na kuonyesha msisitizo wa umoja wao katumwa mbatia mbona nyie mmemtuma slaa kwani yeye ccm?mwaka huu ni mwendo wa farasi tu paka mkome
  7. G

    Waraka kwa Dr. Slaa

    napiga supu na chapati hapa najenga afya na Mungu anijalie ili tar 25 october niwe sehemu ya mabadiliko (Tanzania itajengwa na wenye moyo) Mungu ibariki Tanzania ,Mungu Ibariki Afrika Mungu mBARIKI LOWASA
  8. G

    Sakata la Richmond: Dr. Mwakyembe amkaanga Lowassa, Kumburuza Mahakamani...

    ninamashaka sana na Dr Mwakyembe nahisi anataka kumvua nguo mwenyekiti wake,yangu macho lakini pia watueleze habari ya twiga kupanda ndege,meno ya tembo,madawa ya kulevya,mabehewa yalio nunuliwa chini ya kiwango,tegeta escrow nk wasishikilie richmond peke yake. HAWA NIKUWAKATA TU MAANA HAKUNA...
  9. G

    Serikali yawarubuni watumishi wa umma

    mvua inyeshe jua liwake kisu ni haki yao tu
  10. G

    Hii ndio CCM

    Tanzania: ICC to Establish Regional Chapter in Arusha City
  11. G

    Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Tanzania: ICC to Establish Regional Chapter in Arusha City
  12. G

    Tofauti ya hotuba za Slaa na Lowassa ndani ya CHADEMA

    Kwa wenye uelewa mdogo hawawezi kuelewa maana yake nini ila mkuu wakaya kaelewa alicho kisema Lowasa endeleeni na figisu figisu zenu lazma twende ngurdoto arusha. Tanzania: ICC to Establish Regional Chapter in Arusha City http://allafrica.com/stories/201302180128.html
  13. G

    Tofauti ya hotuba za Slaa na Lowassa ndani ya CHADEMA

    Kwa wenye uelewa mdogo hawawezi kuelewa maana yake nini ila mkuu wakaya kaelewa alicho kisema Lowasa endeleeni na figisu figisu zenu kama halazma twende ngurdoto arusha. Tanzania: ICC to Establish Regional Chapter in Arusha City http://allafrica.com/stories/201302180128.html
  14. G

    Hatimaye wakazi wamgomea Mnyika

    mimi ni mmoja wa wapiga kura kuchagua mbunge na jimboni kwangu kasimama mnyika anapita kwa kura nyingi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Back
Top Bottom