Serikali yawarubuni watumishi wa umma

Serikali yawarubuni watumishi wa umma

Ni kweli mshahara umeongezwa kuanzia laki 1 mpaka 3, hapa kwetu walimu wa Grade A imeongezwa laki 3 lakini cha ajabu kwa wengine hawakuongezewa, sijui wanatumia kigezo gani kuongeza mshahara huu@
 
Katika kile kinachoonekana kama kusaka kura kwa chama tawala-CCM,Serikali imeongeza mshahara wa watumishi wa umma kimyakimya. Kuongezwa kwa mishahara ya watumishi wa umma katika kipindi hiki,kunaonekana wazi kama kampeni.

Nyaraka za kimshahara toka Idara,Taasisi na Mashirika mbalimbali ya umma,zinaonesha kuwa mishahara imepanda kwa ongezeko la shilingi laki moja hadi laki nne kwenye mshahara wa mwezi uliopita. Ni wazi kuwa huku ni kuwarubuni watumishi.

Watumishi wa umma,kwa miaka nenda-rudi,wamekuwa wakilalamikia mishahara duni. Wapo walimu wanaoidai Serikali mabilioni ya shilingi. Wapo hata Wastaafu wa Jumuiya ya zamani ya Afrika Mashariki ambao nao wanasotea haki zao.

Siasa za kurubuni,kulaghai na kupumbaza tusizipe nafasi. Kwanini sasa ndiyo Serikaliwiwajali watumishi wa umma?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Mzee wangu hivi kweli CCM inahitaji KURA za hawa?

1.Wanywa viroba.
2.Wavuta Bangi.
3.Wapumbavu
4.Malofa-
5.Wasiona kazi za maana yaani walahoi fulani hivi.
6.Madada powa.
7.Kuna wale tunaoitwa NYUMBU aka tulio vyama vya upinzani ila kwa sasa tumebadilishiwa jina tunaitwa WAPUMBAVU au MALOFA.

Ukinipa jibu sahihi basi nitakuomba uwaambie waliowaongeza mshahara wapo katika moja ya group hizi.

Wape pole waambie tumeamua sababu tunajua dhambi zote za Lowassa na bado tumeamua kwa dhati kabisa kumpa KURA zetu.

Kama baada ya Lowassa kujiuzulu haya yafuatayo yangekoma:
1.Ubadhirifu wa mali za umma.(Malipo hewa kwa wakandarasi bilioni 258,ununuzi wa Meli ya 1978 kwa bilioni 8
2.Rushwa
3.Ufisadi (mfano ESCROW account)
4.Ujangili wa Tembo.
5.Shilingi kushuka kama vile ilikuwa kileleni ikaporomoka ghafla.

Basi hakika ningempigia debe mgombea yoyote wa CCM hata Chenge....
 
Katika kile kinachoonekana kama kusaka kura kwa chama tawala-CCM,Serikali imeongeza mshahara wa watumishi wa umma kimyakimya. Kuongezwa kwa mishahara ya watumishi wa umma katika kipindi hiki,kunaonekana wazi kama kampeni.

Nyaraka za kimshahara toka Idara,Taasisi na Mashirika mbalimbali ya umma,zinaonesha kuwa mishahara imepanda kwa ongezeko la shilingi laki moja hadi laki nne kwenye mshahara wa mwezi uliopita. Ni wazi kuwa huku ni kuwarubuni watumishi.

Watumishi wa umma,kwa miaka nenda-rudi,wamekuwa wakilalamikia mishahara duni. Wapo walimu wanaoidai Serikali mabilioni ya shilingi. Wapo hata Wastaafu wa Jumuiya ya zamani ya Afrika Mashariki ambao nao wanasotea haki zao.

Siasa za kurubuni,kulaghai na kupumbaza tusizipe nafasi. Kwanini sasa ndiyo Serikaliwiwajali watumishi wa umma?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

mkuu sehemu nyingine nyaraka zinasema mshahara kwa FTC/diploma miaka mitatu ni 1,000,000/= Degree sayansi ni 1,350,00/= lakini wanavolipwa huyo FTC anachukua 588,000/= na degree 800,000
 
Katika kile kinachoonekana kama kusaka kura kwa chama tawala-CCM,Serikali imeongeza mshahara wa watumishi wa umma kimyakimya. Kuongezwa kwa mishahara ya watumishi wa umma katika kipindi hiki,kunaonekana wazi kama kampeni.

Nyaraka za kimshahara toka Idara,Taasisi na Mashirika mbalimbali ya umma,zinaonesha kuwa mishahara imepanda kwa ongezeko la shilingi laki moja hadi laki nne kwenye mshahara wa mwezi uliopita. Ni wazi kuwa huku ni kuwarubuni watumishi.

Watumishi wa umma,kwa miaka nenda-rudi,wamekuwa wakilalamikia mishahara duni. Wapo walimu wanaoidai Serikali mabilioni ya shilingi. Wapo hata Wastaafu wa Jumuiya ya zamani ya Afrika Mashariki ambao nao wanasotea haki zao.

Siasa za kurubuni,kulaghai na kupumbaza tusizipe nafasi. Kwanini sasa ndiyo Serikaliwiwajali watumishi wa umma?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Usiwaonee wivu!. Si ni kawaida ya Magoli ya mikono?,.Wapokeaji (Watumishi)ndiyo watakao jipima kama wao Wapumbafu na Malofa au lah!.

Anyway pamoja na kuwa yaweza kuwa rushwa ila staili hiyo ya kimya kimya haina uhakika wote wote-November wakiwa Magogoni kwa goli la mono wasipotoa utaweza kuwa dai maana hakuna mahali wametangaza kisheria kuwa wameongeza mishahara kwa kiwango hicho.

Kada mbalimbali kama Vyuoni na Taasisi mbalimbali.

Mzee Tupatupa

Naona yule kijana wako anakaribia kukubadilisha mawazo, maana Nyumba nzima umebakia wewe, harakisha kuja UKAWA mkuu acha ubishi...........
 
Tangu nchi ipate Uhuru,ongezeko la mshahara halikuwahi kuwa laki moja. Tafakari

Mzee Tupatupa

Mzee wangu naona umeanza kutapika ile RANGI YA KIJANI.Subiri kidogo bado unakazi ndogo tu ya kutusaidi.Kutumegea vile vidogo vidogo.

Ngoja kwanza eti alieamua kurithi chama chenu anaenda lini ughaibuni???Maana tumeshamchoka sasa.Au pesa zimeisha za kujilipa DSA???
 
Ongezeko la mshahara huku Miradi ya Maendeleo ni hoi, Other Charges hakuna. OGOPENI CCM kama ukoma.
 
Back
Top Bottom