Hatimaye wakazi wamgomea Mnyika

Hatimaye wakazi wamgomea Mnyika

Mtu ambaye hawezi kujua matatizo ya wanaichi wake hatufai,twende na Dr Mkangara jimbo la kibamba

Huyo Mkangara atajuta kumjua Mnyika. Mpaka sasa ushindi wa Mnyika ni wa asilimia 80 na hapo bado hajaanza kampeni. Tusubiri hiyo October usisahau kurudi kwenye uzi huu huu kutupa feedback.

Tiba
 
Ndio Mnyika hawezi kushinda na njaa hata kidogo ila jimbo la Kibamba lazima ashinde
 
Hayo mambo ya ilani naona ni kama yale mambo ya kukariri na kwenda kwenye mtihani, matatizo ya tanzania yanajulikana, sioni haja ya kuwatuma watu waliochoka ka wakina wasira kuandika kwenye kitabu, na hata solution zake zipo, natamani nione magufuli, pro-ccm na hata ukawa wakitoa solution( japo ukawa atlest kidogo wanajitahidi) najua haiwezi tokea kwa ccm na pro-ccm, pengine unaona kibwagizo hapa kazi tu ila hakuna mtu anaainisha kazi ipi kwenye sekata ipi na itafanyika vipi..?
Any way ndo siasa zetu na ndo maana nchi maskini sana..

Ya Magufuli yamekushinda unarukia ya Wassira? Wassira wataamuwa watu wa jimboni kama wanamtaka au la .

Magufuli wataamua Watanzania kama wanamtaka au la.

 
Last edited by a moderator:
Mleta uzi anabwabwaja sana si bure nadhani anatafuta bwana kwani masaburi yake yanamuwasha
 
Nakwambia pale kumeingia kirusi nitaabu, cdm ileee si ya sasa, hapo wanalindwa na fuata mkumbo laiti hawa fuata mkumbo wangelikuwa wanajitambua na kuhoji jambo lolote kingenuka kule, na sote tuombe mungu atupe uhai mrefu baada ya uchaguzi kirusi alivyo wakoroga pata fuka moshi

wafata mkumbo wanaubavu wa kuhoji kwani chama chao?wenyema wameshavuta mkwanja wanazungusha makengeza yao huko wafata mkumbo wakichochewa walete vurugu maskini ya mungu
 
Wana cdm halisi hatuwaoni. Huko ndani kuna mgomo wa kimya kimya. Wengi wameondoka na slaa, ndio maana lowassa kaliona hili akaja na uongozi wake. Mf, Angalia waliokuwepo jana ndoo unajua kuna jambo kule ndani.
 
Dah hizi nyuzi zinachosha mazee, embu mtuambie sera za mgufuli kwenye
Afya, elimu, miundombinu na uchukuzi, rushwa, katiba mpya nk haya mengine yanachosha na inaonekana ka mmepanic hivi, mchecheto umezidi sana
Mbna unaongea shiti..sera hzi uambiwe Mara ngpi.huna tv huna radio..huoni au husikii.?kama Ndo hvo Sema tukusaidie
 
mzksaditz

Haina haja ya elimu ya chuo kikuu wala elimu ya secondary moja kwa moja ukitafakari kwa makini kuhusu hili suala unagundua kabisa kambi ya wapinzani imejaa maigizo,uchu wa madaraka,tamaa ya pesa,ubaguzi na ubabe. Kwa hoja hii wapinzani hawafai LEO WALA MILELE tena kuingia ikulu maana wataleta machafuko ndani ya nchi yetu hususani ubaguzi
Tuwapinge kwa nguvu ili nchi yetu isije ingia kwenye machafuko ya amani kwaajili ya watu wachache wenye maslah binafsi.
mwisho wa kutoa taarifa
#HAPAKAZITU
#CHAGUACCM
#MWANAMKESHUJAA
#CHAGUAMAGUFULI
20150827230545.jpg
 
Last edited by a moderator:
mzksaditz

Andikeni hadi mchoke, lowassa tu hapa. Anzisheni siledi miamia hatubadiliki mkome ujuha wenu
 
Last edited by a moderator:
Acheni siasa za siasa!ukiona huna chakuandika cunyamaze? Mna chosha mazee?
 
Salum Mwalim Ninani? Au Wewe Ulitaka Umuone Mnyika Tu? Chadema Ni Kiwanda Cha Kuzalisha Viongozi Makini Kuliko Chama Kingine Chochote Hapa Nchini
 
Mleta uzi anabwabwaja sana si bure nadhani anatafuta bwana kwani masaburi yake yanamuwasha


Wewe ndio unabwabwaja na bwana yako ndio mimi hapa, naona ubongo wako umekujaa maji unahitaji ukamuliwe inamaana wewe kusoma hujui hata picha huoni DR Slaa amekaa kimya,Myika amekaa kimya wewe ndio unajiona msemaji wa chama boya sana acha fikra potofu na kujigeuza mpumbavu,nyie ndio wafata mkumbo wa ukawa ambao mnageuzwa madondocha huoni mbele wala nyuma, amka usinmgizini uone ukawa wanavyogawana pesa wewe kazi yako kupiga kelele barabarani.
ccm ndio chama pekee kisichofungamana na dini,ukabila wala ukanda ni chama cha watanzania bara na watanzania wa visiwani na ndicho chama pekee chenye democracy na daima tutakipenda.
CCM OYEEE
#HAPAKAZITU
#CHAGUAMAGUFULI
#CHAGUACCM
 
Sera za CCM, Magufuli ni mtekelezaji tu, kumbuka hilo.

Kuna kitabu kizima, hujakipata? Si tu sera na namna ya kutekelezwa kwake, wapi tulipotoka nini kilichofanyika nini bado na Magufuli kapewa jukumu lipi. Jipatie nakala yako.
Kwa hiyo atakuwa anapewa maagizo na mwenyekiti wa chama huyu anayeondoka juu ya nini cha kutekeleza?
Kwa sababu so far Magufuli mwenyewe anajijua kuwa anafaa kuwa waziri mkuu.
Ila sio Urais. Sijui kama unalijua hili
 
Salum Mwalim Ninani? Au Wewe Ulitaka Umuone Mnyika Tu? Chadema Ni Kiwanda Cha Kuzalisha Viongozi Makini Kuliko Chama Kingine Chochote Hapa Nchini

Ingekuwa ni kiwanda msingesubiria mgombea akatwe ccm ndo mumsimamishe
 
mimi ni mmoja wa wapiga kura kuchagua mbunge na jimboni kwangu kasimama mnyika anapita kwa kura nyingi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom