YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,052
Kuna tofauti kubwa mno kati ya hotuba za Dk Slaa na Lowasa wakiwa CHADEMA.Hotuba za Slaa mtu hata uwe mpinzani wake lazima akimaliza unaweza kumpa mkono wa hongerea kwa hotuba nzuri,yenye mpangilio,mantiki,imesheheni hoja kila upande.
Jamani hotuba za Lowasa ni kituko wapinzani mkubali mkatae Lowasa ni sifuri kwenye kuhutubia.Hotuba zake ziko hovyo. Mfano ni Kama alipotoa hotuba yake kwa kina mama aliyohutubia dakika 10 nilicheka mno.Ahadi aliyowapa akina mama akichaguliwa kasema atawapeleka hao akina mama waliokuwepo pale uchaguzi ukimalizika atawapeleka hoteli ya Ngurudoto wakapumzike baada ya kazi nzuri!!!! Tuliosoma saikolojia tunajua pengine ana wanawake zake pale ndio alikuwa akiwapa ahadi za kuwa atawapeleka Ngurudoto
Alijisahau kuwa anaongea na wanawake wa Tanzania mahaba yakamjaa kwa hao wanawake zake akaona awaambie pale pale nitawapeleka Ngurudoto mkapumzike.
Wakapumzike na nani? Lowasa mtoa hotuba ndie anajua.
Sijawahi ona hotuba ya hovyo kama ile.Slaa asingeweza toa hotuba kama ile.