Mchonyo wa marehemu babu yako alielala huko mwandiga:
Mbwa kama hawa wakina zitto ndio wanaowasababisha watu waende jela bila kukusudia.
Hebu imagine anaongea upumbavu huo mbele yako utaacha kumlapua kofi au kumtemea kohozi.
Unasema vifo vimepungua kwa takwimu tunazoletewa na BBCSWAHILI na dadaako Zuhura Yunusi beberu wa kizanzibari.
Zinaaminika vipi hizo takwimu zao kama ni za kweli?
Hata marekani wanakaa wanajinadi kama democrasia ipo nchini mwao na haki za binaadamu lakini wamarekani wenyewe wakihojiwa...
Kwa kusema hivi inamaana kama hapo zamani watu walikuwa hawafi? Jiulize mwaka jana umehudhuria misiba mingapi na sababu zipi za hao watu kufa na mwaka huu pia umehudhuria misiba mingapi na sababu ni zipi za vifo hivyo.
In short nina siku 4 toka nimetoka kitale sasa sijui kama count ya kitale unaijua ipo upande gani mwa africa.
Alafu unaemuona anataka kutetea hoja yake kwa lugha ya kibeberu Basi huyo ni masikini wakutupwa wa mwili akili hata kiheshima.
Ukishaijua wewe maana ya WHO Inatosha haya tuondoleeni...
Wewe unaejua na mwenye akili tafuta dunia yako ukaiishi au ungana nao unaowaona wenye akili wenzako wanaotoa takwimu kilasiku ya maongezeko ya wagonjwa kwao nitakuona pengine unamaamuzi yakiume.
Lakini kuendelea kuongea ushubwada humu alafu unatumia usafiri wa daladala na huduma zingine za...
Corona ni biashara tu kama ilivyo biashara zingine lengo lilikuwa nikutengeneza gonjwa litakalo idhuru Asia na Africa pamoja na bara la ulaya kwa nchi ndogo ndogo huku G7 wakidhani aitawafikia changamoto inakuja kuona mpaka wao imewagusa na wanahangaika kuuondoa nchini mwao na wakifanikiwa...
Acha kukariri upumbavu uanaobadilika kilasiku.
Umehama kwenye hoja ya msingi umeingia kwenye science na madawa ya ARV.
Jibu kwa hoja tatizo kushikiwa kwenu akili na kuudharau utu wenu mukiambiwa siku dawa ya corona ni manii za mjusi lazima mpigwe chanjo mutakubali nakushadadia.
Sijapata kuona mtu bogaz kama wewe hivi tanzania ndio imekuwa ni kikwazo cha dunia kuiondoa corona sindio?🤣🤣🤣🤣🤣
Hebu jaribu kufikiria kama wanaume tunavyofikiriaga bana sio unafikiria kama wanaodamshi.
Soma vizuri sana na kwa makini comment yangu nadhani utanielewa tu ni nini namaanisha!
Alafu ugonjwa wowote ule uwe wa maambukizi au wakurithi au utakaokupata wowote ule uwa auchagui wakumuuwa kama ni mtoto au mkubwa au umesahau mwaka jana america wale watoto mapacha wa miezi 7 waliokufa na...
Kwahiyo na hayo mataifa yanayotoa takwimu kila uchwao wamejikinga vipi na corona au maambukizi kwao ndio yamepungua kwa kutoa takwimu na sisi tusio toa ndio tunaangamia au?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.