Recent content by G13

  1. G

    JamiiForums Tanzania Sakata la Katibu Mkuu, CHADEMA tugawe zone tuanzishe vyama

    wakuu watu wa kusini Mbeya,Iringa Ruvuma na Lindi na sisi ni wakati wetu wa kutoa katibu mkuu wa CHADEMA tusikubali kama hatoki kusin basi atoke Lake Zone Taarifa Akitoka kaskazini basi yafuatayo yafanyike kila zone wawe kitu kimoja undeni chama chao,zone hio ni Central zone Lake zone...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Sakata la Katibu Mkuu: CHADEMA vipande vipande

    wakuu watu wa kusini Mbeya,Iringa Ruvuma na Lindi na sisi ni wakati wetu wa kutoa katibu mkuu wa CHADEMA tusikubali kama hatoki kusin basi atoke Lake Zone Taarifa Akitoka kaskazini basi yafuatayo yafanyike kila zone wawe kitu kimoja undeni chama chao,zone hio ni Central zone Lake zone...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nauliza ni kwanini mpaka leo vyuo vikuu Afrika Kusini hawasomi bure?

    Mpe kura yako Lowassa uone kama itashindikana Elimu bure
  4. G

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mtanzania leo 7/10/2015 haliko mtaani, halijatoka

    Basi sio Lowassa kagame ndo mhusika
  5. G

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mtanzania leo 7/10/2015 haliko mtaani, halijatoka

    Lowassa anahusikaje ? Basi kagame ndio mhusika
  6. G

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa
  7. G

    JamiiForums Tanzania Naomba vyombo vya Dola kuwa makini na usanii mpya wa kuchangia Lowassa

    Na nyie changisheni
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nionavyo: Azam Energy Drink ina madhara ukiitumia vibaya

    MUHIMU KWA MUSTAKABALI WA AFYA YAKO (SOMA)! Azam Company ni kampuni inayolisha Watanzania na nchi nyingi kusini mwa jangwa la Sahara. Mzee wetu huyu amekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na nchi jirani zinazotuzunguka kupitia huduma mbalimbali anazotoa, kuanzia usafiri wa majini, vyakula hata...
  9. G

    JamiiForums Tanzania CCM huwezi kuichagua kwa haya

    [12:24, 8/25/2015] ‪+255 714 323 407‬: Wakenya wanacheza smart games na Watanzania bado tumelala.. After Precision Airlines (PA) kuwa threat kwa operation za Kenya Airways (KQ) route za Tanzania na Kenya, KQ wakaingia ubia na PA very smartly na bwakawa wanaihujumu undercover. Leo hii...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

    1. Nyumba za Serikali Kwa hakika hili ni doa kubwa sana kwa Magufuli. Ni katika kipindi alichokuwa Waziri wa Ujenzi (awamu ya 3) alishawishi kwa nguvu na msukumo mkubwa sana mpaka kufanikiwa uuzaji wa nyumba za serikali. Hii hatua ya Magufuli halina tofauti na kile alichokiita CAG Professor...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ushindi tutauona pale Akianguka Mgombea Wa CCM jangwani

    mim nasema ataanguka tu subiri mda ufike
  12. G

    JamiiForums Tanzania Vijana msiwadanganye wazee wenu kuhusu uchaguzi

    kweli mkuuu waandaliwe kisaichology
  13. G

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Uchaguzi Mkuu wa CUF haya hapa

    Mkuu kweli tunataka mabadiliko komaa kijana unaweza
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kujiuzulu kwa Prof. Nyamhumwa wa DIT kama alivyoahidi

    Kuhusu kujiuzul kwa Prof. Nyamhumwa wa DIT kama alivyoahidi ikitokea kama atakuwa chanzo cha mgomo. Giza nene limetawala kuhusu kujiuzulu kwa Prof. Nyamhumwa katika Taasisi ya Technolojia ya D.I.T kufuatia kuahidi mwenyewe kujiuzulu kuwa endapo wanafunzi amboa hawajamali ada watafanya mitihani...
Back
Top Bottom