Mshana kwema mkuu. Tafadhali naomba rudishwa kwa group ya magari la whatsapp. Nimebadili handset ila sikuweza hama na groups. Tafadhali namba 0787 229344 . Natanguliza shukurani mkuu
Mkuu Mshana, tafadhali naomba saidia hawa wadau wa JF kuwaunga ktk group la whatsApp, wanapata shida jinsi ya kukutumia ujumbe through hii mada maalum ya magari na wakanituma ujumbe kwangu. Numbers:- 0754-835309; 0766-026849 na 0714-079636
Asante kwa msaada wako
Asante kwa uchambuzi huo mkuu. Swali langu ni; Je kwa aina ya watu uliowa ainisha kuna fursa ya mmoja wapo kubadilika kuwa na sifa za upande wa pili? Kwa mfano Mjeuri kuwa mpole na vivyo hivyo kwa mpole? Na Je hii ni hurka ya kuzaliwa nayo(genetical) au inaathiriwa na mazingira husika ya mtu...
Wana JF Habari.
Naaombeni ushauri wenu kuhusu gari hizi mbili kwa mazingira ya Kitanzania. Gari zenyewe ni Honda-crossroad na/au Honda-Elysion.
Nimezipenda hasa kwa familia (watu 7 mpaka 8) na nahitaji ushauri ipi ni bora kwa mazingira yetu, kama vile vipuri, ulaji wake mafuta, uimara...
Wana JF Habari za mapumziko ya sikukuu ya X-mas.
Leo nina jambo nataka uliza. Nimepata fununu kuwa katika kipindi cha hivi karibuni biashara ya mayai ya Kanga imekuwa nzuri sana kwani yai linafika hadi Tsh 1000 hasa kwa Jijiji Dsm.
Mimi huwa najishughulisha sana na ufugaji wa kuku wa kienyeji...
Mimi nina mfano wa ubavu wangu kama miezi nne iliyopita amekuwa akikaa hata wiki 3 baada ya siku zake kufika bila kuona hata dalili za kuingia au kuziona siku zake lakini wiki ya nne mwanzo akaingia. Na hii imemtokea mara tatu sasa. Labda wataalamu wanawezasema zaidi chanzo cha kukaa mda mrefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.