Recent content by g.m

  1. g.m

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa halotel

    Hakuna mtandao uliofikia 5G tanzania,Tigo wamejitahidi wame lunch 4G.Acha kudanganya Uma
  2. g.m

    JamiiForums Tanzania Lindi - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Haiwezekani Nape ashinde kwa kura zote hizo wakati katika kipindi cha kampeni Jumla ya Wanachama 16,000 walirudisha kadi zao na kujiunga na Chadema.
  3. g.m

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli kuna Mtanzania mwenye akili zake timamu anaweza kuichagua tena CCM, kwa Lipi?

    Acha hizo ina maana chadema inaendeshwa na mbowe tu! Chadema ni taasisi siyo familia,maamuzi yanatokana na vikao,kauli yako ina maanisha kwamba bila mbowe chadema haita perform! Rekebisha kauli yako
  4. g.m

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wanachama wa CHADEMA 5000 wajiunga na CCM Bukoba

    Wataisoma mbele kwa mbele! yaani tarehe 28 oct,wajiandae kwa vulugu za aibu,vulugu za kumpoza El aliye mpa Baba Free Lady bil 10 ili awe mgombea wa Ukawa.
  5. g.m

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mtoto wa Celine Kombani amrithi mama yake jimbo la Ulanga

    Unaongelea nassari unasahau mgimwa?
  6. g.m

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wanachama wa CHADEMA 5000 wajiunga na CCM Bukoba

    Mwaka huu wananchi wameelemika sana tena sana wanajua kuchambua mbivu na mbichi,huyo mgombea wenu anayejinyea jukwaani mtakoma naye,asiposhikwa na kisukari presha itamuua maana pesa alizopoteza ni nyingi mno.Viva magufuri
  7. g.m

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wanachama wa CHADEMA 5000 wajiunga na CCM Bukoba

    Hayo ni Mahaba.Hata wewe unaweza kupanda basi kwenda kuangalia mechi uipendayo kokote Kwa sababu tu ya mahaba na timu hiyo.
  8. g.m

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wanachama wa CHADEMA 5000 wajiunga na CCM Bukoba

    Hayo ndo mahaba! Ukiyasikia usishangae
  9. g.m

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Wafanyakazi mkinichagua nitapunguza P.A.Y.E kutoka 18% mpaka 9%!

    Huwezi compare Rwanda na Tz,Rwanda ni sawa na Zanzimba so
  10. g.m

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

    Wako wapi waliopakazia kwamba magufuri haelewani na mke wake? 4U movement jipangeni upya hoja yenu imejibiwa leo pale viwanja vya Chato secondary.
  11. g.m

    JamiiForums Tanzania CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Hapa kazi tu
  12. g.m

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Waliletwa na magari toka Dar es Salaam
  13. g.m

    JamiiForums Tanzania Hujuma zimeanza Jimbo la Segerea dhidi ya Julius Mtatiro

    Yote yanawezekana lakini kwa kuwa mtatiro alishajitokeza na kumpongeza huyo mama kwa uamuzi wake wa busara wa kukubali kumwachia jimbo,Tunaomba ajitokeze tena kwenye facebook au hapa jf mashabiki wake tujue nn cha kufanya
  14. g.m

    JamiiForums Tanzania Jaman sijui Lowassa kawapa nini watanzania, watu hawamwelewi kabisa Dr. Slaa

    Kwa system hii CDM wote ni wanafiki! Walianza na Zito Zuberi Kabwe akaitwa msaliti na mnafiki,akaja Said arf akaitwa mnafiki na msaliti,akafuata Mwenyekiti wa baraza la wazee,mzee Shilungushera akaitwa mnafiki na msaliti amekuja Dr Slaa mmemuita mnafiki na Msaliti naami hata anayefuata pamoja na...
  15. g.m

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

    Tunapaswa pia kujiuliza kwamba kati ya mbowe na Dr slaa nani msaliti? Mbowe alikuwa anazungukwa na hawa wafuatao: 1. SAID ARFI-Makamu mwenyekiti-CDM 2. Dr Slaa-Katibu mkuu 3. Zitto zuberi Kabwe-Naibu katibu mkuu Hawa wote walikuwa wanakaa meza moja kila kukicha,amebaki peke yake hii inaonyesha...
Back
Top Bottom