MKK,
Kwani CCJ wameshapata uwanachama wa kudumu?
Kama bado, je moja na conditions ambazo wanaitaji kutekeleza kupata uwanachama wa kudumu ni kupata idadi Fulani ya wanachama kwenye mikoa tofauti?
Na kama that the case, Je hawawezi kutumia hela na mali walizonanzo kuandikisha idadi kubwa...
Mwanakijiji/JF members,
Apology kama swali langu ni la kipuuzi, ila mimi binafsi ninajiuliza je hii kujiandikisha kwa simu haitafanya mtu mmoja kuweza kujiandikisha mara nyingi with different names and locations? je uhakiki wa kujiunga kwa njia hii bila kuwa na proper identification...
Dah watu mnapumba... Mambo kama haya ya umbeya ndio maana wengine tunawakimbia watanzania abroad maana waongeacho na matendo ni ujinga tupu.
TA which I assume ni kifupi ya Tanzanians Association?? inasaidia nini watanzania? And I hope is not funded by the Tz government. Could someone please...
Mwanakijiji sio tu kupiga picha ni ata kutangaza vifo vya watu bila ridhaa ya wanafamilia.. Mimi binafsi naona kuandika habari ya marehemu hapa JF au kwenye magazeti bila kuwa na ridhaa ya wanafamilia waliobaki sio vizuri. Maana wakati mwinginie wanafamila wengine hawajui kilichotokea mijitu...
mhhh MK umejuaje? alafu kiongozi fulani.. does that mean unamjua ni kiongozi yupi? na kwamba hiyo ajali haitakuwa ajali ya kawaida? kuna uwezokano wowote wa kuepusha hiyo ajali? je uyo kiongozi fulani hawezi kutonywa awe careful?
That is exactly what i was thinking, Viongozi wetu tanzania hawawezi kutetea wanyonge, wapeshapata rushwa na sasa hawawezi kusema kitu chochote kwa Baricks.
Sorry been away for a while with no internet access..
Any idea of local Environmental agencies/ ngo that could help with this? or local lawyers who could help these people (Victims) to sue Barricks?
Njia pekee ya kuokoa vijana wetu ni kuongeza ajira tanzania. JK yuko busy kuwaentertain mafisadi so hii ya kuongeza ajiri ni ndoto kwa sasa... ndio tz yetu etiiii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.