Recent content by Furura

  1. F

    JamiiForums Tanzania TLS ni mali ya umma, sheria ya TLS imetungwa na Bunge

    Huyu magu anataka acontrol vyama vyote hata vya wafanyakazi kama CWT anabingilia huyu jamaa ni kumkatalia wazi wazi vinginevyo hivi vyama vyetu huru ataviweka mfukoni na vingine tayari ameshaviweka mfukoni na kupelekea kuacha kipigania maslahi ya wafanyakazi.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

    Kweli hawana huruma hata kidogo
  3. F

    JamiiForums Tanzania Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

    Kweli kabisa. Yuko likizo
  4. F

    JamiiForums Tanzania Dk Slaa: Mvumilieni Rais Magufuli. Natafakari kurudi nchini siku yoyote

    Of course Dr tumemmisi sana, binafsi namkubali sana zaidi ya wanasiasa wote tulionao Tanzania Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  5. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afikishwa mahakama Kisutu, asomewa mashitaka Matano, apata dhamana

    Tatizo hapo ni hofu ya serikali kwamba atashinda uchaguzi huo
  6. F

    JamiiForums Tanzania Hii nchi haiishi vituko! Yaani First Lady anaenda kuteuliwa kuwa mbunge akabanane na wakina Bulaya!?

    Haya ni maajabu ya Musa na watanzania kwa hili naona tunaenda kuongozwa na familia kama Uganda
  7. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Yaani hamuna kitu ni bla blaaa tuuu. Hovyo
  8. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Sasa iko wapi dhamila ya kuwainua vijana? Kama wanateuliwa wazee? Sasa imebaki na Mtoto kupewa wizara
  9. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hamna kitu Tanzania hatuko serious kabisa na rais wetu kwa uteuzi huu ametuvunja moyo na nia. We are not serious at all kwahali hii maendeleo Tanzania ni baadae xna. Tulifikiri tumempata Nyerere wa pili kumbe wapi. Hii inanikumbisha nchi ya Giningi
  10. F

    JamiiForums Tanzania LHRC kuipinga 15% ya Bodi ya mikopo Mahakamani

    Hiyo ni kweli utakataje bila hiari ya muhusika
  11. F

    JamiiForums Tanzania UDSM chapinga kudahili vilaza, NACTE pia waipinga TCU

    Kwa hiyo TCU haihusiki na wanafunzi kutoka nje ya nchi?
Back
Top Bottom