swahili state
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 261
- 146
Wewe umekuja kuniunga mkono bila kujua, mimi nimesema four zipo ila sijasema hawakuwa na sifa, kuna watu wanakurupuka kusema walioenda UDSM wote walipata one, alafu vyuo vingine ni four, Hivi kweli one zipo UDSM tu?UDSM hawajawahi kua na vilaza hata mwaka mmoja. kama wagekua wanapokea vilaza, basi Jesca Kilaza (yule mtoto wa dakitari) asingekimbilia shamba la bibi, wakati baba, mama na familia yake kwa ujumla walikua wanaishi Dar. Angejiunga UDSM.
mwaka 2014 ulioutaja wewe, aliepata alama D mbili ambapo alama D ilianzia Makasi 30, alikua na sifa ya kwenda chuo kikuu kwa mujibu wa TCU, japo kwa mujibu wa NECTA alikua na division 4. NECTA walisema principal pass ni kuanzia alama C iliyokua inaanzia maski 40,TCU wao wakashusha mpaka alama D ili wapate wanafunzi. hivyo basi, hao mafundi cherehani waliokwenda UDSM mwaka huo kwakua walikua na vigezo vya kwenda chuo kikuu. hata hivyo, pamoja na kua walikua na vigezo, vigezo vyao havikufua dafu ktk kushindania programs za maana, ndio maana wakajikuta wanaangukia kwenye ufundi cherehani.
Mimi ni mwanaharakati niliyejitolea kuvipigania vyuo vingine na kuweka ukweli wazi bila kujali nilisoma UDSM au sikusoma UDSM, NAOMBA KUMALIZIA KUWA UDSM KUNA WENYE ONE HADI FOUR, MFANO HAO WASHONA CHEREHANI AMBAO FIELD YAO WANAFANYIA URAFIKI TEXTILE, MWA TEXT NA MBEYA TEXT.