Hivi Hili zoezi mwisho ni kiluvya tu au baada ya hapo wataendelea mpaka chalinze.......??? Mm Niko kibaha kwa Mathias ndani ya mita hizo kutoka morogoro road......anaye jua atujuze!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo unayo yataka ww yanapatikana kwa oda tena vizuri wakati yanatengenezwa uwepo, coz hata nazi zinazo tumika ni nazi fresh.
Ndio maana nikauliza unahitaji kiasi gani sababu yanagharama kidogo ukizingatia hiko ni chakula usafi unaitajika..... Kinyume chake angalia usije ukauziwa mafuta...
Habari wana jf.....?
Mm ni mfanyabiashara kutoka mwz nimekuja dar kutafuta masoko ya samaki wamaji baridi sato na sangara.
Kutokana na mm yakutokuwa na nanafasi yakufanya hiyo biashara kwa rejareja, nimeamua kuifanya hiyo biashara kwa jumla tena kwa oda maalum.
Kwasababu hiyo basi nina...
Kama ni ghalama zake kwa nn asitumie hiyo likizo yake kwenda kijijini kwake akasherekea sikukuu na wazazi wake walio msaidia kwa namna moja ama nyingine kumfikisha kwenye mafanikio aliyonayo.
sasa huko nje wanaenda kumwangalia nani? Kama sio kuiga tabia za kishenzi za ndoa za jinsia moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.