iampizooh
Member
- Sep 2, 2017
- 46
- 37
naomba kujua ualimu wanachukua division 3 ya ngapi kwa chet cha form 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
kama masomo ya art sahau wanataka angalau uwe umepass masomo ya sayansi bila kuwa na f ya maths .....
Acha kutisha watu wamesema tu kuwa waliosoma physics chemistry math kiswahili na English watapewa kipao mbele na sio kwamba MTU kusoma art aachwe wakat ana three na nafas za ualimu ni nyingi sana waweza kukuita chuo kimoja kinataka wanafinzi 400 au 350 sasa unadhan nan atatemwa hapokama masomo ya art sahau wanataka angalau uwe umepass masomo ya sayansi bila kuwa na f ya maths .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna huyu mdudu physics kawa mchawi wa maendeleo ya watu ki taaluma.Acha kutisha watu wamesema tu kuwa waliosoma physics chemistry math kiswahili na English watapewa kipao mbele na sio kwamba MTU kusoma art aachwe wakat ana three na nafas za ualimu ni nyingi sana waweza kukuita chuo kimoja kinataka wanafinzi 400 au 350 sasa unadhan nan atatemwa hapo
Hawaangalii physics kwenye ualimu bhana kwani imekuwa afya hiyoKuna huyu mdudu physics kawa mchawi wa maendeleo ya watu ki taaluma.
Kuna mkakati kama huna hicho kifubwasha utasugua gaga
Bali wanaangalia nn?Hawaangalii physics kwenye ualimu bhana kwani imekuwa afya hiyo
mpka three bas kama ww una one mpka three na umeaapply bas ww ni Mwalimu tu kuanzia saiz
Kwani uwalimu wa masomo ya science wanaangalia hadi math?One
mpka three bas kama ww una one mpka three na umeaapply bas ww ni Mwalimu tu kuanzia saiz
Unataka uwe Mwalimu wa sayansi na hesabu
Sayansi
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTEsubir chuo tu utaenda kuwa mie sijasoma chuo cha ualimu sijui itakuaje ila utaenda kuwa sikilizia huko huko