Recent content by funluverx

  1. funluverx

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu za medali za kuchepuka na 'mali za watu' kwa usalama wako

    1. Never take photos with him/her. 2. If you called and she/he hangs up, don't call back immediately. 3. Never text love-messages. 4. Satan should not tempt you to sleep at his/her house even when her/his partner is out of the country. 5. Never book the same lodging every time you go for...
  2. funluverx

    JamiiForums Tanzania Mbongo mpe 'heading' tu kisha subiri stori

  3. funluverx

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

    Wapenda Was**nge na Malaya Wachafu wa Bei rahisi ndio walikuwa wakijazana hapo 'Mapipa'. 'Bata' la wajanja lilikuwa 'Bills',CD. Kwa wapenda totoz classic ilikuwa pale Jolly Club enzi zilezile. Mwenyewe 'Macheni' alikuwa hakauki 'Bills' kipindi hichohicho hasa Usiku wa Muafrika, Baharia yule...
  4. funluverx

    JamiiForums Tanzania Ni kweli huko Dar es Salaam huwezi kupata nyumba ya kupanga bila dalali?

    Kuna vitu vingine haihitaji 'digilii' ya Vyuo kama hivi vinavyotunuku 'Udakitari' holela. Hakuna cha bure Mjini, Kujua wapi kuna nini nayo ni huduma na huduma nigharama. Kama hutaki basi, zunguuka mwenyewe jiji Uijue Darisalama vizuri.
  5. funluverx

    JamiiForums Tanzania Nimepata Tsh 3.5 milioni. Nifanye biashara gani?

    Naona dalili za mtu kukabidhiwa umasikini kwa mwendo wa kasi, Mleta hoja ruuuuuuuun
  6. funluverx

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo Area D, Dodoma. Na hili ndilo geti lililoachwa wazi na walinzi kutokomea siku Lissu aliposhambuliwa

    Swali lenye thamani ya $ Billioni moja hili.:cool:
  7. funluverx

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nyuma kidogo pesa za plea bargaining nyingine uki-trace uliambiwa kuna akaunti China

    Sitaki kuamini kuwa 'mzee baba' (alieenda) nae alipigwa au sijui ndioo nae.......? 'Man'kang'ande' kwa sauti ya 'Julius'🤪
  8. funluverx

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KUZAA NAE ISIWE TIKETI YA NDOA. MAMAMKWE NAE 'DJINGAH' TU.

    Kwenye harakati za kuiridhisha nafsi kupitia 'kiburudisho' ikatokea kamtundika mimba na kuzaa binti ambae tayari anae mtoto. Mshikaji hakuwahi kumuweka huyu binti kwenye fikra zake kwamba siku moja angeweza kuwa mke kwake. Na hilo aliliweka wazi ambapo pamoja na vigezo vingine lile swala la...
  9. funluverx

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupo njia panda, afanyeje mwana?

    Uwe unaandika vizuri basi na mwisho uweke kituo. Kwani mlisomea wapi nyie watu? Hapa upo ndani ya Uzi wangu acha uzwazwa.
  10. funluverx

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupo njia panda, afanyeje mwana?

    Siku nyingine hapo palipokolezwa, sema zana.
  11. funluverx

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupo njia panda, afanyeje mwana?

    Umesikika Ila hiyo si hadithi au niweke kapicha ka mwenye zana zake?
  12. funluverx

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupo njia panda, afanyeje mwana?

    Penye alama ya kuuliza ndipo lilipo swali.
  13. funluverx

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupo njia panda, afanyeje mwana?

    Vipi Iliki haijakolea?
  14. funluverx

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupo njia panda, afanyeje mwana?

    Binti kisu kisu kweli. Ilikuwa tuupige ' ubeche' wa Harusi miaka minne iliyopita baada tu ya mchumba wake kuhitimu Chuo lakini baada ya kushauriwa mshkaji alilielewa somo na kukubali kuahirisha Ndoa kwa makusudi ya binti kwenda kumalizana na masomo ili akirudi wanaoana. Mshkaji aliingia...
  15. funluverx

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume watanashati na Vibamia

    Una RAMBO hujajistukia tu. Na bahati mbaya hiyo ni kama Kichaa, alienacho hawezi kukubali hata umkute uchi mtaani.
Back
Top Bottom