Wanaume watanashati na Vibamia

Wanaume watanashati na Vibamia

ODO meter imesoma mbali😂, papuchi zingalikuwa na LCD display Kuna ambazo zingekuwa zinaonesha taa nyekundu Kama za dash board ya gari

Unakutana na engine malfunction ,taa nyekundu ya Battery
😆😆😆
 
Una RAMBO hujajistukia tu.
Na bahati mbaya hiyo ni kama Kichaa, alienacho hawezi kukubali hata umkute uchi mtaani.
 
Za mchana

Jamani leo natoa pongezi kwa Wanaume watanashati na utanashati uho unakuja kujidhihirisha ndani yani unakuta tango na sio bamia..
yani wanawake tuwabebee maisha,tuwape hela,tuwapende,tuwape mioyo yetu na bado mnataka tuwe na matango kwani mnataka mtuue?
 
Back
Top Bottom