Recent content by fungi

  1. fungi

    Atheists wana mtindio wa ubongo

    Alieumba uovu ni nani?
  2. fungi

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    [emoji1][emoji1][emoji1] Kesho ntapita manyanya Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
  3. fungi

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    Labda usogee kimara Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
  4. fungi

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    Sijaelewa Naombeni short intro ya huyo Mkulima Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
  5. fungi

    C programming tutor

    for flutter check me 0764798060
  6. fungi

    Msaada juu ya course ya IT na ICT

    UDSM pale COICT Kijitonyama kuna certificate na diploma ya computer science, ukiachana na uzuri wa fani utapata faida ya kuwa karibu na communities mbali mbali za Technology kama unataka ICT nadhani Open university can be the best option
  7. fungi

    Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    as long as kuna siku hizo punje zitaisha maana yake ni finite,ili iwe milele inabidi iwe infinity
  8. fungi

    Nataka kujuzwa kuhusu ukunga na uuguzi

    ukitaka kula maisha kwenye hiyo fani uwe na certification kama Anesthesia
  9. fungi

    Wimbo wa Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa!

    hilo ni tatizo la kiakili linaitwa 'SELF DECEPTION'
  10. fungi

    Wimbo wa Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa!

    Nimekuuliza wew maana jinsi ulivyofananisha charts za Clouds na Billbroad ni kama mfumo wao wa nyimbo kuingia kwenye charts unafanana kitu ambacho si kweli
  11. fungi

    Wimbo wa Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa!

    ungekuwa na elimu ndogo tu ya Deep Network Algorithm usingeandika huu uzi
  12. fungi

    Wimbo wa Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa!

    Nyimbo inaingia vipi kwenye charts za Billboard?
  13. fungi

    Wimbo wa Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa!

    unajua jinsi SIRI inavyofanya kazi??
  14. fungi

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Profesa Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Chama cha mawakili sio entity ya serikali..mfano kuna Baraza la madaktari la Tanganyika ambalo lipo kwa mujibu wa sheria na ni entity ya serikali halafu kuna Chama cha madaktari ambacho chenyew hakipo kwa mujibu wa sheria na sio entity ya serikali Lakini kwa wanasheria kuna chama tu hakuna...
Back
Top Bottom