Recent content by funga funga

  1. funga funga

    Demu wa vibomu

    Ukipiga na kuacha siyo ujenge msingi hao wanafilisi
  2. funga funga

    Ole Sendeka atoka kwenye Ukumbi wa Bunge kwenda kulilia nje

    Usiofu Ndo mfumo. WA magamba
  3. funga funga

    MKAPA: Rais pekee aliyekataa kwao na asilia yake

    huyu si ali kataa kujenga kwao akasepa south africa na kujenga limjengo kwa pesa za ggm.na ndiye alie tia saini ya dhahabu zichimbwe mpaka mwaka 16666666 ndiyo najua magamba mtashupalia sana ni kweli.
  4. funga funga

    CCM: Moshi wa helkopita una madhara kiafya!

    na watakufa hawa magamba mpaka basi.
  5. funga funga

    CCM: Moshi wa helkopita una madhara kiafya!

    Kweli gamba limepata kutu
  6. funga funga

    UEFA Champions league anthem.

    Kumbuka bonge la mechi kati ya baryenlevekusen na realmadrid bao safi la zizou liliipa kombe madrid
  7. funga funga

    Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    mweshimiwa kamanda lema mi nimechoka kukimbizwa kila siku na hawa policeccm.sasa hivi waje hao green guard waone ujue tukikaa kimya wanatuona maboya.?
  8. funga funga

    Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    LEMA.wewe ni kamanda tena sana.nakushauri njoo mwanza na makamanda kama 200 hivi sawa wenje naye achague makamanda wenye moyo na nchi hii kama 200 jumla tuwe 402 yaani jk hata akija na police 1000000000 hawataweza kwani wao wanategemewa walipwe mshahara lakini sisi tuta simama kimapenzi na...
  9. funga funga

    Hizi hapa sababu 6 zinazowafanya CCM waichukie CHADEMA na watu wake

    Hivi humu kuna mazuzu yasha ingia.ya buku 7
  10. funga funga

    Hizi hapa sababu 6 zinazowafanya CCM waichukie CHADEMA na watu wake

    Zamani ukiwa ccm wewe utaogopeka mpaka najamii lakini ebu pita kwa sasa na masale yako ka majani ya mpera hata soko lolote la mwanza,tarime,musoma,ilemela na majimbo yote yaliyo kwesha kombolewa.gamba atakiona kitakacho tokea.cdm mpango wa mungu
  11. funga funga

    Lowassa kufutiwa uanachama wa CCM?

    Nini?unauliza swali na unatambua ulicho kikanyaga kinatereza basi kama kwa hisia ni ngumu hata alufu husikii?ccma kwisha habari yaaaaaaakeed
  12. funga funga

    Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

    Naona rage mdomo umejaa povu.mwantika anawafanya vibaya leo hii du mungu peleka kirio msimbazi.
  13. funga funga

    Mkakati wa Mwigulu kuua CHADEMA Iramba

    Hahahaaaaaa jamaa huyu ni kibaraka wa jk na dhani si unaona povu linavyo watoka mamundu wake hapa wanashupalia au buku 7 ndo zina watumeni? Mtakufa na ukibahatika kukutana na maraika wa chadema mbinguni ana kuonyesha site la magamba wakiwa tanuli la moto sijui mtafanya nini?
Back
Top Bottom