CCM: Moshi wa helkopita una madhara kiafya!

CCM: Moshi wa helkopita una madhara kiafya!

Hizi ndizo kauli zisizokuwa na maana na kuwafanya watu mbumbumbu. Je moshi wa magari hauna athari? Lawama pia ni kwa waandishi wa habari kutokuhoji na kuwaachia watu kupotosha.

Generator za umeme, matrekta, mitambo ya ujenzi, magari, ndege, helicopter, treni na meli hutumia aina mbalimbali za mafuta ya asili ya petrol (petro chemical fuels); na kuyaunguza ili kupata nishati. Kama mafuta haya yanaunguzwa kikamilifu, matokeo ni kuwa bomba linatoa toa taka kwenye injini linatoa: nitrogen, maji, na carbon dioxide kwa wingi. Na hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa taka hizi ziko carconogenic (zinaweza sababisha saratani)!!!
 
Generator za umeme, matrekta, mitambo ya ujenzi, magari, ndege, helicopter, treni na meli hutumia aina mbalimbali za mafuta ya asili ya petrol (petro chemical fuels); na kuyaunguza ili kupata nishati. Kama mafuta haya yanaunguzwa kikamilifu, matokeo ni kuwa bomba linatoa toa taka kwenye injini linatoa: nitrogen, maji, na carbon dioxide kwa wingi. Na hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa taka hizi ziko carconogenic (zinaweza sababisha saratani)!!!
Mafuta yanayotumika katika helicopterna ndege zingine ni aina ya kerosine - Mafuta ya taa. Tunayatumia haya kwenye vibatari na vijijini kwetu hii ndiyo njia kuu ya kupata mwanga. Nyuma ya nyumba ninayoishi bila ridhaa ya wakazi wenzangu, kumejengwa mnara wa makampuni ya simu za mikononi na generator ndiyo njia kuu ya kuupatia umeme pale umeme wa tanesco unapokatika. Pamoja na malalamiko yetu, kila mara uambiwa hakuna madhara. Ndiyo maana nikasema kauli iliyotolewa ni kuwafanya watu mbumbumbu.
 
Ni kweli! Moshi wa chopa una madhara makubwa ya kisiasa! Unafanya watu wapate uelewa wa kile kilichopo kwa wepesi hivyo kubadili misimamo sugu ya itikadi zao. Wanavua magamba kwa haraka na kuvaa magwanda! Hayo ni madhara!
 
Unaweza kudhani ni commedy lakini ndiyo ukweli. Baada ya kamanda wa anga kutarajiwa kuanza kuchana anga na chuma kesho huko Kalenga na kuchapa mikutano sita kwa siku Ccm wameingiwa kiwewe na kutangaza kwa wananchi kwamba moshi wa helkopita una madhara kiafya. Source: Majira My take: Tunaanza kuhisi matokeo na hali ya mgombea wa Ccm ni kama ya Siyoi hata kuongea!
Je, na ule moshi wa ndege ya rais maana ameshasafiri mara 359 tangu aingie madarakani. Moshi wa ndege ya rais=moshi wa helkopta. Kwa hiyo kama kuna ukweli, ndege ya rais yenye safari nyingi na helikopta ni kipi chenye madhara zaidi.
 
Katibu wa CCM mkoani Iringa Bwn.Mtenga ametoa kauli ya kuwa wakazi wa Kalenga wawemakini kipindi hiki ambapo CHADEMA imehamua kutumia helicopter katika shughuli zake za kampeni za kugombea ubunge jimbo la Kalenga Katibu huyo amesema kuwa wananchi wa Kalenga wasihudhulie mikutano ya CHADEMA kwa kuwa moshi wa helicopter ni hatari kwa afya zao wanaweza kupata Kansa hapo baadae.
Hizi ni kauli za kijinga na ni aibu kwa mtu wa nyadhifa hiyo kuongea haya.CCM inatumia vigezo kuchagua viongozi wake?mana haya ni masalo.
 
Unaweza kudhani ni commedy lakini ndiyo ukweli. Baada ya kamanda wa anga kutarajiwa kuanza kuchana anga na chuma kesho huko Kalenga na kuchapa mikutano sita kwa siku Ccm wameingiwa kiwewe na kutangaza kwa wananchi kwamba moshi wa helkopita una madhara kiafya.
Source: Majira

My take: Tunaanza kuhisi matokeo na hali ya mgombea wa Ccm ni kama ya Siyoi hata kuongea!
Acha kuweweseka wewe,stay tuned tarehe 16....
 
Acha kuweweseka wewe,stay tuned tarehe 16....

hahahahaaaa shoza unatumika siku za matukio tuuu baada ya gapo unatiwa kapuni,. Umejiua mwenyewe sababu ya tamaa zako na njaa zako. Ona sasa wenzio wanavyo kutumia hadi vibaya,
 
Ww kama hujui kaa kimya Chopa inatumia mafuta aina ya jet 1 ambayo ni grade 1 ktk uchujaji wa mafuta ambayo flash point ni kubwa ambayo haya kiwango cha chemical zinazotoka ni kidogo kuliko mafuta yoyote yanayo tumika.acha kuwahadaa watu a cha propaganda zako.
 
Aisee hii ccm inawasomi balaa.eti moshi wa helikopta Una madhara!!! Siasa za ccm bhana
 
Wajinga wakiendelea kuwasikiliza ccm,wataambiwa bendera ya Chadema inaumiza macho
 
Acha kuweweseka wewe,stay tuned tarehe 16....

dada kipindi upo chadema ulisema tena kwa nguvu kuwa ccm haifai leo upo ccm unasema tena kwa nguvu kuwa chadema haifai., mmmh nina mashaka nawewe, daima msimamo ni mmoja tu lakn huku baadae unakula matapishi yako huku, ni afadhali ungeanzisha chama chako au kuachana kabisa na siasa
 
Back
Top Bottom