HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,140
Si umeona mkuu, vitu vidogo vinawatoa sana fahamu.Kuna siku miadi imepangwa kila kitu tuonane saa 1 jioni sasa sikuwa na uchawi wa miguu minne siku hyo si nikatoa taarifa kuwa nakuja nadaka daladala..
Conversation ikawa hivi..
Mimi: si umejiandaa
Yeye: ndio njoo
Mimi: poa nadaka daladala hapo chaap nafika
Yeye: heeh daladala tena??
Mimi: ndio, usafiri pancha na sina hela ya kufanyia service..
Yeye: heeh mi nilijua unakuja na gari, sasa na basi si nitakutesa mpaka huku.
Mimi: hamna siteseki nshaamua naja so usiwaze
Yeye: daah kama huna gari let's arrange another day sa hivi utachoka tu na jioni hii....
Mimi: (huku nsha mind) sasa anayechoka mimi au wewe?? Naja usiwaze
Yeye: aah nsha arrange ratiba nyingine
Mimi: kimya( mpaka leo miezi mi3 akinitafuta nipo busy tu na mimi)
Shida sana....
Ukienda na Corola ataanza mimi nilijua unapush Q7? wakati baba yake mzazi hana ujanja wa kumiliki hata baiskeli
Bora mkuu ulivyompotezea mwizi tu huyo, tena umemwonesha kuwa wewe ni muwazi unapanda daladala yeye anataka makuu. Angalia yako asikuumize kichwa