Mkakati wa Mwigulu kuua CHADEMA Iramba

Mkakati wa Mwigulu kuua CHADEMA Iramba

Yaani nisivyo mpenda huyu muuaji tena kaka ka zimwi la damu.salaamu kwa magamba kuwa "mtu hawezi kuramba matapishi yake".wa tz hawawezi kurudi kwenye zama za mawe.
 
Mwigulu kwa vile ni naibu wa wizara ya fedha basi, ataonga wapinzani wenye njaa wengi sana kwa kutumia hadhina ya taifa!
 
Hivi wewe ulitegemea Mwigulu asaidie kuimarika kwa CDM? yaani mshindani wako akusaidie wewe ili umshinde? Hakuna sehemu yiyote Mwigulu alipokosea yeye ametimiza wajibu wake umebaki wajibu wako wewe kuoambana naye na hatimaye ufanikiwe kumshinda
 
Cdm nayo ipange mikakati ya kuua ccm ktk jmbo la chemba

Mikutano mingi inapopangwa iramba huishia kuahirishwa.Lisu ameshindwa kufanya mikutano mara tatu licha ya mikutano kutangazwa.Sijui jamaa chawi.
 
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya chama cha mapinduzi wilayani iramba,zinabainisha kuwa,kuna mkakati mkubwa sana unaoratibiwa na mbunge wa iramba ndugu Mwigulu Nchemba,wa kuhakikisha chadema inapotea kwenye ulingo wa kisiasa wilayani iramba.Mkakati huo ambao tayari umefichuliwa na mmoja wa kiongozi mwandamizi wa ccm iramba,baada ya kukerwa na mbinu hiyo haramu isiyo na maslahi kwa wananchi,unawahusisha baadhi ya viongozi wa chadema iramba wenye njaa kali,na ambao wamekuwa wakipinga maamuzi ya cc ya kuwavua nyadhifa zao,dk kitila na zzk.Kazi ya kwanza ni kuhakikisha ofisi za chadema za wilaya zilizoko katikati ya mji wa kiomboi zinafungwa.Pili ni kuwatumia viongozi wenye mrengo wa TEAM USALITI,kuanzisha mgogoro wa kiungozi,mmoja wa viongozi hao ni mwenyekiti wa kata ya ndago.Mtonyaji wetu toka ndani ya ccm anasema mwenyekiti huyu wa ndago amekuwa akikinda chama kwa kuwafukuza zitto na kitila,na amekuwa kinara wa migogoro wilayani iramba.Viongozi hao wanalipwa fedha na mwigulu. source uchunguzi binafsi.
kosa kubwa wanalofanya ccm ni kudhani kwamba,ccm inachukiwa kwa kuwepo chadema.
 
Yusuph Jr,

Acha uwongo tena uliodhahiri Kama kufungwa ofisi zenu zimefungwa siku nyingi sana hata ya Shelui sasa miezi mitano haijafunguliwa, hata ofisi kuu ya Mkoa near by Rwezaura Bar ipo na kufuli kubwa mwaka mzima Je na hiyo njama ya Mwigulu?

Si mmemfukuza Bwana Sarai na sasa mmepata uongozi mpya mbona bado nao wanaendelea kufunga ofisi? Bandiko lako halina hoja ya msingi, Mimi naishi hapa hapa Iramba, Shelui!

CDM Iramba ishakufa hakuna asiyejua, hata Mwenezi Malume yupo hoi haamini kilichomkuta Dr Kitila hadi Leo!

Tafuta lingine hili halina mashiko!
 
Hahahaaaaaa jamaa huyu ni kibaraka wa jk na dhani si unaona povu linavyo watoka mamundu wake hapa wanashupalia au buku 7 ndo zina watumeni? Mtakufa na ukibahatika kukutana na maraika wa chadema mbinguni ana kuonyesha site la magamba wakiwa tanuli la moto sijui mtafanya nini?
 
Yusuph Jr,

CDM Iramba ni dhaifu sana tena sana! Uwe mkweli baada ya kumfukuza Dr Kitila ndio imekuwa mwisho wake! Iramba hakuna chama cha upinzani!

Vijana wengi wa Ndago, Shelui, Urughu, Mtekente, Ulemo wamekuwa doro kabisa baada ya kumfukuza Dr Kitila! Kwa hakika mkitaka kuona jinsi gani chama kimeathirika basi mfano Mzuri Iramba! Dr Kitila alikuwa anajitolea mwenyewe kulipia ofisi na shajala pamoja na mafuta!

Tumuombe Dr Kitila aendelee kusaidia CDM Iramba Kama mtu baki Kama Sabodo!
 
watu kwa kujipendekeza kwa mwigulu kwa kupewa vijisent balaa, hakuna ofisi iliyofungwa ya cdm iramba ,hata hivyo endeleeni kumuaminisha hivyo Chdm tunasonga mbele.
 
Alijitahidi sana mtu anaitwa Lawrence Masha. Lakini siku moja akashangaa watu wamemkimbiza kama mwenge
 
Yusuph Jr,

Acha uwongo tena uliodhahiri Kama kufungwa ofisi zenu zimefungwa siku nyingi sana hata ya Shelui sasa miezi mitano haijafunguliwa, hata ofisi kuu ya Mkoa near by Rwezaura Bar ipo na kufuli kubwa mwaka mzima Je na hiyo njama ya Mwigulu?

Si mmemfukuza Bwana Sarai na sasa mmepata uongozi mpya mbona bado nao wanaendelea kufunga ofisi? Bandiko lako halina hoja ya msingi, Mimi naishi hapa hapa Iramba, Shelui!

CDM Iramba ishakufa hakuna asiyejua, hata Mwenezi Malume yupo hoi haamini kilichomkuta Dr Kitila hadi Leo!

Tafuta lingine hili halina mashiko!

Ofisi ya wilaya haijafungwa na imelipiwa kodi.
 
Hivi wewe ulitegemea Mwigulu asaidie kuimarika kwa CDM? yaani mshindani wako akusaidie wewe ili umshinde? Hakuna sehemu yiyote Mwigulu alipokosea yeye ametimiza wajibu wake umebaki wajibu wako wewe kuoambana naye na hatimaye ufanikiwe kumshinda

Kinachopingwa ni mikakati haramu ya kuhonga,kujeruhi na kuua.Hatutafuti huruma za ccm.
 
Yusuph Jr,

CDM Iramba ni dhaifu sana tena sana! Uwe mkweli baada ya kumfukuza Dr Kitila ndio imekuwa mwisho wake! Iramba hakuna chama cha upinzani!

Vijana wengi wa Ndago, Shelui, Urughu, Mtekente, Ulemo wamekuwa doro kabisa baada ya kumfukuza Dr Kitila! Kwa hakika mkitaka kuona jinsi gani chama kimeathirika basi mfano Mzuri Iramba! Dr Kitila alikuwa anajitolea mwenyewe kulipia ofisi na shajala pamoja na mafuta!

Tumuombe Dr Kitila aendelee kusaidia CDM Iramba Kama mtu baki Kama Sabodo!

Mwongo mkubwa wewe.
 
Back
Top Bottom