Recent content by fundi makarasha

  1. F

    Mikutano ya UKAWA yaanza kudorora

    Baraka za shetani nimatusi namaovu kama haya walioridhia wana ccm kutoa matusi shetani awabariki tena .
  2. F

    Mikutano ya UKAWA yaanza kudorora

    Matusi ya vibaraka wa ccm yanampaisha Lowasa mpaka lkulu endeleeni namatusi yenu shetani awabariki sana .
  3. F

    VUNJA-MBAVU: Staili Tofauti za CCM za Kuomba Kura 2015

    Hii ya magufuri inaitwa tolori .
  4. F

    Polisi wamkamata kijana aliyekuwa anakusanya maoni Kariakoo

    Kama kamanda anakosa basi wakatwe pamoja na twawezeshwaccm.
  5. F

    Bulembo anafanya vizuri sana timu ya Magufuli

    Magufuli anatama kubwaga manyanga maana maji ya shingo .
  6. F

    CHADEMA Hatuwezi ku-risk kupoteza midahalo zaidi ya 5-10 kwa siku kwa mdahalo mmoja kwa siku moja

    Duuh sisiemu yamegonga pichu wanatapatapa wanakata roho .
  7. F

    Huyu Lowassa si mtu wa kawaida, sasa nimeamini

    Simiyu ana wivu wa kike sana kama Lowasa nifisadi mbona hashitakiwi ?
  8. F

    Joseph Msukuma ni nani?

    Ucha uongo hana mgodi wowote na hana pesa magari anayotumia huwa niyajamaa mmoja anaitwa mambo ya chinga mwanza .
  9. F

    Joseph Msukuma ni nani?

    Pesa si yake bali aliwahi kuwa msimamizi ya mabasi flani yalikua yameandikwa sabuni . kikweli hajitambui kwa sasa hana kitu huwa ni mtu wa kujiweka karibu na watu wenye Pesa zao na kuazima magari ya kifahari nakujifanya niyakwake . kiukweli huwa nimpambe tu kwa wenye fedha.
  10. F

    Naomba vyombo vya Dola kuwa makini na usanii mpya wa kuchangia Lowassa

    Pesa nyingi za ccm zinaishia kwa akina diamond wakati hawana ushawishi kwa wapiga kura . Ccm acheni ujinga wasani wenu wala hawawezi kutupa ushawishi wa kuipigia kura chama cha majizi .
  11. F

    Lowassa sasa anatumia Helicopter aliyomnunulia mshenga aliyemtongozea Uraisi CHADEMA

    Lowasa ikulu njia nyeupe ataingia kwa kishondo cha kura . ccm imefikia ukingoni tar 25 .
  12. F

    Lowassa ashindwa kujibu madai yake ya kwenda Vita vya Kagera

    Vita vya kagera Tanzania haikua na umuhimu wa kupigana vita ile . Sababu kubwa ya vita ile ni urafiki wa mtu na mtu haikuwa na umuhimu kwetu .
  13. F

    Mdahalo wa wagombea urais ufanyike kwa English

    Kwani rais wa china alipokuja Tanzania kusaini ile mikataba 16 ya kutunyonya alitumia lugha ipi hapa nchini ?. Jitambue kujua kiingereza siyo sifa ya usomi .
  14. F

    Construction of key Djibouti-Ethiopia electric rail line to finish

    Kwahiyo priorities zenu Tanzania ni ulaghai kwa watanzania wasiojitambua . kuwagawia T-shirt na kofia . Acha ujinga wako ukipewa visent kidogo unaridhika hata unatupa uthamani kwa wenzako .
  15. F

    Hali sio shwari, wafuasi wa CCM watifuana kisa Lowassa

    Nimepata habar za ndani ya sisiemu kua wanataka kuandamana ili kumshinikiza mwenyekiti wao ili amrudishe Lowasa ktk chama chao . kama sivyo watarejesha kadi za chama nakujiunga na chadema.
Back
Top Bottom