fundi makarasha
Senior Member
- Aug 26, 2015
- 124
- 29
Baraka za shetani nimatusi namaovu kama haya walioridhia wana ccm kutoa matusi shetani awabariki tena .
Kutokana na kile kinacho semekana ni kupaniki mikutano ya UKAWA yaanza kupoteza dira mahudhurio yaanza kuwa hafifi sana kitu kinacho ashiria kuwa wananchi walio wengi wamechoshwa na baadhi ya viongozi wao kuwa wana hutubia dakika tano au tatu ishu ambayo kwao wameona kama dharau kubwa sana kwa sababu wanadai wanaacha shughuli zao mwishowe inakuwa batili,,huku baadhi ya wananchi na wanachama wakipongeza ccm na umahiri wa mgombea wao ndugu magufuli ambaye anazungumza zaid ya dakika 45 kwa umahiri na ustawi wa hali ya juu.
Sisi ukawa hatusombi watu kama nyie .watu wanakuja wenyewe na wanaondoka wenyewe nyie mnapatashida sana mnadhani kuwajaza kwenye mikutano ndio mtapata kura? Subirini anguko LA ccm Mwaka huu
Baada ya wiki 4 zijazo ndio utafahamu na kutambua faida ya malori na kwenda kwa mguuDozi imekuingia
Ukwel ni kwamba pasipo ulaghai wa kusomba watu kwa malori na kutumia wasanii wenye majina mikutano ya ccm ingekuwa hafifu sana....huwa ni mafuriko yakutengeneza.
UKAWA wananiudhi kutohubiri juu ya jambo hili kusudi wananchi wasiojua wajue.....kuna wengi kisaikolojia watashawishika kupigia kura ccm wakiamini kinaungwa mkono na wengi kwa kuwa tu mkutano ulikuwa na nyomi.

Mtaisoma namba ccm wamejipanga kweli.Bwana jaba unajishushia heshima kwa kuanzisha viuzi vya uongouongo kila dakika,kila mtu ana njaa lakini naona yako imezidi.CCM OUT
Tungekuwa tumeendelea sana kwa umahiri wenu wa kudanganya kwa hotuba za masaa matatu. Muulize Kikwete katekeleza nini na ahadi zake ndefu za kujenga viwanja na mahospitali plus kununua bajaj za waja wazito.ngoma nyeupeee kwa dkt magufuli kwani hatuwezi kumpa nchi mtu asiyekuwa na uwezo wa kuzungumzia hatma ya nchi yetu dhidi ya masuala kadha wa kadha ya nchi yetu