Mikutano ya UKAWA yaanza kudorora

Mikutano ya UKAWA yaanza kudorora

ntamchagua muadilifu na mchapa kazi ambaye ni dkt john pombe magufuli popote atakapokuwa kwani naamini maendeleo hayana chama

Tegemea haya mambo yatazidi kuwepo milele na milele amina, ccm oyeee

1. Wanawake kujifungulia Sakafuni

2. Watoto kusomea chini ya Miti

3. Watumishi kulipwa mishahara ya Hadaa

4. Twiga kupandishwa kwenye Ndege

5. wizi wa ESCROW

6. Ufisadi wa EPA

7. Ufisadi wa RICHMOND

8. Ujangili Uliokithiri

9. Mikataba Mobovu ya Dhahabu

10. Mikataba mibovu kwenye Tanzanite

11. Mikataba mibovu kwenye Almasi

12. Ubinafsishaji wa Bandari, ATC, Mashamba yaNAFCO, VIWANDA, NBC nk

13. Huduma duni za Afya

14. Huduma Mbovu za Elimu

15. Ukosefu wa Maji

16. Ukosefu wa Umeme wa Uhakika

17. Gharama kubwa za Umeme

18. Kupanda kwa Bei ya Mafuta ilhali inashuka kwenye soka la Dunia

19. Gharama kubwa za vifurushi vya simu za mkononi

20. Wawekezaji kutokulipa kodi

21. Rais kusaini cheque kwa dhehebu moja

22. Pengo la kukataa Rasimu ya Katiba mpya

23. Ubovu wa barabara

24. Kugawana Nyumba za Serikali

25. Mauaji ya Daudi Mwangosi

31. Mkaahapa kujimilikisha mgodi wa Kiwira

32. Yusuf Marope kutumia Bilioni 5 uchaguzimdogo wa Tarime

33. Ufisadi wa Deep Green
34. Ufisadi wa Meremeta

35. Mabomu ya Arusha

36. Uvamizi wa vituo vya Police

37. Ununuzi wa Mv Dar es Salaam kifisadi

38. Mabehewa Feki ya Treni –

39. Ununuzi wa Ndege ya Rais

40. Mikataba 17 ya kichina

41. Kushamiri kwa biashara ya Sembe (madawa ya kulevya)

42. Usafirishaji wa Meno ya Tembo

Na mkirudi ccm mtukamue zaidi ya hapa manake hatuna namna mshaturoga, na wala hatutalamika kwani tushazoea,
 
Mwambie makufuli aache kutembea na fiesta na kukodi malori uone ayakavyoaibika, watajikuta wanahutubiana wao kwa wao katika msafara wake
 
Safu ya Ukawa Edward Lowassa, Fredrick Sumaye na Lawrence Marsha , mawaziri wastaafu waliotumikia CCM katika vipindi tofauti, waliki kati yao nyadhifa za juu kabisa ndani ya baraza la mawaziri eti leo hii ndo Ukawa wanahisi wataleta mabadiliko!!! CCM imeteka Ukawa.

Ni ufinyu wa fikara au tuseme uwezo hafifu wa upembuzi wa mambo. Vyama vyote ni vya wananchi. mtanzania aliyeipigia kura ccm mwaka 2010 ni huyo huyo atakayeichagua chadema octber 25. kwa hivyo basi naweza nikaamua kugombea chama chochote kati ya vilivyopo kwa kuzingatia yafuatayo
1. labda sera za chama fulani zinakidhi mahitaji ya eneo langu hivyo nitasimama kupitia chama hicho.
2. uwezo wangu kama mgombea katika kusimamia sera na ilani za chama fulani.
ni bahati mbaya tu kwamba watanzania na africa kwa ujumla tumejigeuza kuwa watumwa wa hivi vyama badala ya kuvitumia kama madaraja ya kuvukia kuelekea kwenye maendeleo. nadhani historia na vimelea vya kitumwa vingali vikiishi ndani yetu ndiyo maana katika kila maazimio mitazamo yetu ukiiangalia huwa ni ya kitumwatumwa tu. hata mtu akipata kazi aliyoomba mwenyewe huifanya kitumwa tumwa tu...ujanja mwingi, wizi mwingi, utaoeli mwingi, ghalama kubwa...deliverables hakuna.
na siasa ni hivyo hivyo, mtu kama akiwahi kuwa upande fulani halafu akaenda upande mwingine basi hapo ni kosa na ni laana kubwa na huenda ikawa ni vita. eleweni hivi vyama ni vyetu na vinaendeshwa na kodi zetu kwa lengo la kuijenga nchi yetu. hivi vyama ni njia au namna ambayo wananchi wanayoamua kuitumia ili kukidhi au kufikia malengo yao kiuchumi, kisiasa, kiulinzi na kiutawala.
 
Ni hajabu sana kushangilia ccm, lakini ni vituko kumtusi Dr. Slaa na kuwashangilia wezi waliotoka ccm.
 
Kwa Ushauri wangu kutokana na kauli tata zinazotolewa na Wanasiasa kipindi hiki hasa wa CCM halafu NEC wanaibuka na kuzitetea ingefaa tu kufikia Tarehe 1/10 zikasitishwa ili kuepuka malumbano ambayo hayana tija halafu tukutane Tarehe 25/10 siku ya kupiga kura tu au mnaonaje?
 
Matusi ya vibaraka wa ccm yanampaisha Lowasa mpaka lkulu endeleeni namatusi yenu shetani awabariki sana .
 
Kutokana na kile kinacho semekana ni kupaniki mikutano ya UKAWA yaanza kupoteza dira mahudhurio yaanza kuwa hafifi sana kitu kinacho ashiria kuwa wananchi walio wengi wamechoshwa na baadhi ya viongozi wao kuwa wana hutubia dakika tano au tatu ishu ambayo kwao wameona kama dharau kubwa sana kwa sababu wanadai wanaacha shughuli zao mwishowe inakuwa batili,,huku baadhi ya wananchi na wanachama wakipongeza ccm na umahiri wa mgombea wao ndugu magufuli ambaye anazungumza zaid ya dakika 45 kwa umahiri na ustawi wa hali ya juu.

Hizo dakika 45, anazungumza nini zaidi ya ku-mkampenia EL ,Kuonyesha vidole viwili, na pushap?
 
Unadhani kutembea kwa miguu ndio sifa? Hivi una baiskeli haina kazi hapo kwako kwa nini mwanao aende kwa mguu shule? Hayo makanisa tu yana mabasi ya kupeleka waumini kanisani na kurudi sembuse iwe CCM kuwatafutia wanachama wake usafiri wa kuhudhuria mikutano kumsikiliza mgombea wao? Huu siyo muda wa kutesana ukawa mnaongelea mabadiriko gani sasa?


Huyo anayelalamika malori ni Ukawa kweli haijui Tanzania. Malori ni usafiri wa kaeaida huko Bara. Hizo benz za mafisadi ni za mjini tu na hawadhiliwi na matajiri kams Ndesamburo. WM
 
  • Thanks
Reactions: bdo
mimi sina tatizo na ukawa na nilitegemea kweli muda wa mabadiliko umefika ila baada ya ujio wa lowassa ambaye ndio kocha wa mafisadi yaliyokuwa ccm na sumaye fisad kubwa kuingia kwa wanamabadiliko tena kuwa eti majemedari na mtandao wao wa kifasd wote toka ccm wala siwezi uunga mkono ujinga wa ukawa tena

cdm ilikuwa safi na wagombea safi cha ajabu mbowe kaamua kuvuta zigo la uchafu (fisadi papa lowasa) so sad
 
Sasa mtu anahutubia kisha kinyesi kinamtoka bila kujitambua hapo kuna rais wa nchi kweli? Fankuurooo
 
ikulu sio wodi ya wagonjwa,hawa jamaa (lowassa,sumaye,mbowe) wanania mbaya sana na nchi hii huwezi kuwateulia watu mgombea wa namna hii yaani fisadi papa,icon wa ufisadi na nguli aliyebobea halafu tena mgonjwa naamini hawa cdm(mbowe,mtei) wana siri nzito achilia mbali upiga dili na utapeli
 
Mabadiliko Tanzania tunayahitaji ila ni kutoka kwa watu sahihi, wapiga dili wanampigia debe lowassa maana wanajua amekua mzee wa ruksa zaid kuliko kugusia uchapa kazi kwa maendeleo ya nchi yetu na wananch kwa ujumla.
 
Huna jipya mkuu,mbona kikwete alikuwa ana ongea xana lakin kafanya nn
 
Ukwel ni kwamba pasipo ulaghai wa kusomba watu kwa malori na kutumia wasanii wenye majina mikutano ya ccm ingekuwa hafifu sana....huwa ni mafuriko yakutengeneza.
UKAWA wananiudhi kutohubiri juu ya jambo hili kusudi wananchi wasiojua wajue.....kuna wengi kisaikolojia watashawishika kupigia kura ccm wakiamini kinaungwa mkono na wengi kwa kuwa tu mkutano ulikuwa na nyomi.
 
Back
Top Bottom