Mama wa kambo wanatesa sana.
Bora ulelewe na baba wa kambo kuliko mama wa kambo.
Ubinafsi ndio unaosababisha wa mama kutelekeza watoto wao
anaona yeye ajiondoe kwenye mateso ili mateso ya hamie kwa watoto.
Sasa anautofauti gani na mumewe?
Tangu nianze kusoma nyuzi zako za kuaga huu unafika wa saba.
Kila siku unaaga ila huondoki.
Je, umekosa nauli?
Je, unatafuta umaarufu? Basi yatosha...umaarufu ushaupata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.