Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,611
- 10,170
Tafuta kazi ya kufanya mkuu
Vipi lkn wanapendeza au hawapendezi?unavaa nguo inayokubana,sketi fup ,transparent alafu upo ibadan,unatuonyesha nn maana sio bure unakosa mume kwa sababu ya tabia yako chafu ebu waangalie wenzen waislamu,wanavyojiheshimu.hiyo n nadhir kuwa waislamu wapo kwenye maadil.ila wakristo wapo kinyum na maandiko ndio mm nataman kuoa muislam,maana n wazur na wanaheshima.venye mtu anavaa ndivyo alivyo ila nawarai wadada wakirsto heshimun ibaada,n sehem patakatifu.fanya huo uchaf ukiwa nje sio ibadan,mnaleta dhamb ibadan
Huo ni ujinga sawa na wale wanaovaa manguo mkubwa/makubwa halafu wanashikiliwa mkononi zisiburuze chini.Unakuta mtu kavaa kisketi kifupi halafu ana kivuta vuta ili kiwe kirefu!!
Hakuna nguo zisizo na maadili, labda useme nguo zisizo za utamaduni au tukio fulani.kuvaa nguo zisizo na maadili si heshima na utavunjiwa heshima yako
ila tabia ya mtu haitegemei na vazi avaalo
hao wavaa majuba wanajificha kwenye mwavuli wa majuba ila tabia zao sasa
Ni sawa na kua na picha au sanamu ya yule Maria kavaa kiheshima na kufunika kichwa halafu waumi wanaenda kumuabudu wakiwa nusu uchi.Huo ni ujinga sawa na wale wanaovaa manguo mkubwa/makubwa halafu wanashikiliwa mkononi zisiburuze chini.
Kwa Wagalatia kichwa cha mwanamke sio uchi kama ilivyo kwa upande wa Kobaz.Ni sawa na kua na picha ya yule Maria kavaa kiheshima na kufunika kichwa halafu waumi wanaenda kumuabudu wakiwa nusu uchi.
sawaHakuna nguo zisizo na maadili, labda useme nguo zisizo za utamaduni fulani.
Hata ndoa za mashoga pia sio issue kuwafungisha ndoa kwenye nyumba za ibada za wagalatia,hata kwenda hija Vatican na mashoga sio issue walisha ruhusiwa,hata kuwabariki mashoga pia sio issue coz Papa alisha ruhusu.Kwa Wagalatia kichwa cha mwanamke sio uchi kama ilivyo kwa upande wa Kobaz.
Jikite kwenye mavazi, acha kuibua mjadala wa ushoga, kwenye Uislamu wa Ushia wanawake wanaruhusiwa mapenzi ya njia zote.Hata ndoa za mashoga pia sio issue kuwafungisha ndoa kwenye nyumba za ibada za wagalatia,hata kwenda hija Vatican na mashoga sio issue walisha ruhusiwa,hata kuwabariki mashoga pia sio issue coz Papa alisha ruhusu.
Kuvaa khanga au vitenge msibani ni Islamic/swahili influence katika jamii ya Kitanzania bara. Hakuna tatizo kwa wanawake kuvaa sketi, gauni au suti msibani.Siku moja hawa wadada bhana , tulikuwa job ikatokea taarifa ya msiba ghafla wa mother wa fulani ..Basi ikatangazwa lazima watu waende maana huyo mzee aliyefiwa alikuwe kwenye safu ya wakurugenzi.
Nilishangaa wadada walizama chimbo kwenda kununua kanga na vitenge..Alitumwa tu mtu chap kariakoo hapo akaleta mzigo ...Wamevaa kama sio wao 🤣
Ushoga unaruhusiwa huko huko kwa wagalatia, tena wanauita ni haki za binadamu,Jikite kwenye mavazi, acha kuibua mjadala wa ushoga, kwenye Uislamu wa Ushia wanawake wanaruhusiwa mapenzi ya njia zote.
Siku moja hawa wadada bhana , tulikuwa job ikatokea taarifa ya msiba ghafla wa mother wa fulani ..Basi ikatangazwa lazima watu waende maana huyo mzee aliyefiwa alikuwe kwenye safu ya wakurugenzi.
Nilishangaa wadada walizama chimbo kwenda kununua kanga na vitenge..Alitumwa tu mtu chap kariakoo hapo akaleta mzigo ...Wamevaa kama sio wao 🤣
Maajabu hayatokaa yaishe!cha ajabu anayelalamika na kulia lia kila siku post after post hapa jf khs wanawake ''kukosa mume" ni wanaume badala ya wanawake wenyewe, hili jambo sijawahi kulielewa nchini tanzagiza, si ilipaswa iwe kinyume chake, au? ...